Usihangaike na gharama ya pango au fremu uza kisasa kupitia eCommerce. Nimekufungulia siri hii hapa

Sep 8, 2017
55
259
Habari

Leo nawaletea namna bora kwa wafanya biashara kuuza bidhaa zao kupitia mifumo ya kisasa ya teknolojia maarufu kama e-commerce

e-commerce ni tovuti /website ambazo zinampa mteja nafasi ya kufanya order ya bidhaa kupitia mtandao na order hiyo inamfikiamwenye mali (muuzaji) ..aidha iwe kwa kulipia moja kwa moja au malipo ni baada ya kupokea bidhaa (cash on delivery)

Faida ya mfumo huu wa e-commerce

1.Mmiliki wa bidhaa anakuwa na uwanja mpana wa kuuza bidhaa zake bila ya kuwa limited na eneo fulani

2.Hakuna gharama za pango la kuhijak kukaa barabarani ..kwa maana gharama za fremu ni kubwa san ahasa hasa linapokuwa sehemu yenye high density ya watu.

3.mnunuzi wa bidhaa hana haja ya kuzuruakuanza kutafuta bidhaa kwa kuwaa atakuwa anaziona kupitia computer yake au simu yake ya kiganjani

4.utunzaji mzuri wa mauzo kwani mfumo unakuwa unatunza data zote za bidhaa zilizouzwa online

Namna gani nitapata wateja kutembelea hiyo tovuti yangu?

hapa linakuja suala jingine muhimu sana linaloitwa digital marketing (masoko kupita mtandao).
Unapokuwa na fremu/duka lako barabarani maan ayake wateja wako ni wapita njia wanoatumia ile barabara , pia unapokuwa na e-commerce wateja wako wanakuwa ni watembeleaji wa mitandao..hasa hasa mitandao pendwa instagram na facebook..

Takwimu zinaonesha kwa tanzania tu kuna watumiaji hai (active) milioni 5 wa facebook..hawa wote ni wateja wa bidhaa mbalimbali..kulingana na aina ya bidhaa yako

Uzuri wa kufanya digital marketing...unachagua watu wakutembelea e commerce yako kulingana na demography yao unaweza ukachagua kulingana na umri..jinsia...sifa za kitaaluma...aina ya kazi wanazofany n.k..

Utachagua kutokana na aina ya bidhaa unazouza pia kuna gharama za kufanya aina hii ya marketing

Je gharama za kumiliki e-commerce na kufanya hiyo marketing ni kiasi gani

kumiliki ecommerce kuna gharama utaziingia mwanzo na kuna gharama za kila mwaka
1.gharama ya kutengenezewa 2.kufanya hosting - yaani kuiweka ecommerce yako online na iwe active 3.kulipia jina la ecommerce yako

Hiyo namba 1 ninmakubaliano baina ya mmiliki wa biashara na developer
(Inaweza ika range kuanzia 600,000 - mpaka milioni na kiendelea kulingana na ukubwa wa kazi na developer uliyempata

Gharama ya hosting ni nzuri ukapata ya mwaka kulipia usd 96 ( 230,000) na jina la e commerce yako inagharimu 30,000 kila mwaka...

Hapo roughly kila mwaka utagharamikia 260,000 na biashara yako inakuwa online 24/7 hakuna muda wa kufunga wala kufungua
Sio siku za kazi wala weekend wewe ni kuuza tuu...

Ukiangalia gharama hiyo ni kama 22,000 kwa mwezi tu..

Gharama za kupata wateja huko online ni kiasi gani... Hii itategemea na bajeti yako utakayotaka kuweka ila kwa makadirio huwa ni watu 1,500 mpaka 3,000 kwa kila dollar 1 (2,400)

Inamaana kama utawekeza dollar 5 kila siku ina maana watu unaopendelea waone bidhaa yako kwa siku watakuwa ni idadi kati ya 7,500 - 15,000... Kwa kila mwezi unaweza pata watembeleaji wa bidhaa zako (225,000 - 450,000).. Kwa bajeti ya dollar 150 tu ( 367,500)

Nina uhakika na ninachoongea hapo juu

Tafakari hizo namba hapo juu na uniambie gharama utakazo ingia na wateja utakaopata....

Utajiuliza sasa wapi utapata huduma hizi kuanzia kutengenezewa mpaka maelekezo ya kutumia system na kufanya hiyo marketing?
Mimi hapa ninayekufungulia siri hii ni developer na pia mjuzi wa mambo haya ya digital marketing..

Nitaku guide kuanzia kucraft e commerce yako..mpaka kujua namna ya kuitumia na kuisimamia...

Na pia namna gani unaweza ku control njia zako za marketing online... Utaanza kuuza kama kichaaa.. Unalala unaamka unakutana na oda za bidhaa zako...

Kitu kingine unique kweny ecommerce yangu ni kuwa mtu kama atatumia mobile phone kufanya order.... Order itampeleka moja kwa moja whatsapp na wewe mmiliki unapata notification ya bidhaa zilizowekwa na mteja... This is amazing .....

Utanipataje na gharama zangu zikoje... Usisite njoo tujadili na tupeane madini haya muhimu kwa wafanya biashara wa kisasa ....hutajutia kunitafuta ...

Wahi sasa kabla mshindani wako hajakuwahi
 
Habari
leo nawaletea namna bora kwa wafanya biashara kuuza bidhaa zao kupitia mifumo ya kisasa ya teknolojia maarufu kama e-commerce

e-commerce ni tovuti /website ambazo zinampa mteja nafasi ya kufanya order ya bidhaa kupitia mtandao na order hiyo inamfikiamwenye mali (muuzaji) ..aidha iwe kwa kulipia moja kwa moja au malipo ni baada ya kupokea bidhaa (cash on delivery)

faida ya mfumo huu wa e-commerce

1.Mmiliki wa bidhaa anakuwa na uwanja mpana wa kuuza bidhaa zake bila ya kuwa limited na eneo fulani

2.Hakuna gharama za pango la kuhijak kukaa barabarani ..kwa maana gharama za fremu ni kubwa san ahasa hasa linapokuwa sehemu yenye high density ya watu

3.mnunuzi wa bidhaa hana haja ya kuzuruakuanza kutafuta bidhaa kwa kuwaa atakuwa anaziona kupitia computer yake au simu yake ya kiganjani

4.utunzaji mzuri wa mauzo kwani mfumo unakuwa unatunza data zote za bidhaa zilizouzwa online

namna gani nitapata wateja kutembelea hiyo tovuti yangu?

hapa linakuja suala jingine muhimu sana linaloitwa digital marketing (masoko kupita mtandao).
Unapokuwa na fremu/duka lako barabarani maan ayake wateja wako ni wapita njia wanoatumia ile barabara , pia unapokuwa na e-commerce wateja wako wanakuwa ni watembeleaji wa mitandao..hasa hasa mitandao pendwa instagram na facebook..

Takwimu zinaonesha kwa tanzania tu kuna watumiaji hai (active) milioni 5 wa facebook..hawa wote ni wateja wa bidhaa mbalimbali..kulingana na aina ya bidhaa yako

Uzuri wa kufanya digital marketing...unachagua watu wakutembelea e commerce yako kulingana na demography yao unaweza ukachagua kulingana na umri..jinsia...sifa za kitaaluma...aina ya kazi wanazofany n.k..

Utachagua kutokana na aina ya bidhaa unazouza pia kuna gharama za kufanya aina hii ya marketing

Je gharama za kumiliki e-commerce na kufanya hiyo marketing ni kiasi gani

kumiliki ecommerce kuna gharama utaziingia mwanzo na kuna gharama za kila mwaka
1.gharama ya kutengenezewa 2.kufanya hosting - yaani kuiweka ecommerce yako online na iwe active 3.kulipia jina la ecommerce yako

Hiyo namba 1 ninmakubaliano baina ya mmiliki wa biashara na developer
(Inaweza ika range kuanzia 600,000 - mpaka milioni na kiendelea kulingana na ukubwa wa kazi na developer uliyempata

Gharama ya hosting ni nzuri ukapata ya mwaka kulipia usd 96 ( 230,000) na jina la e commerce yako inagharimu 30,000 kila mwaka...

Hapo roughly kila mwaka utagharamikia 260,000 na biashara yako inakuwa online 24/7 hakuna muda wa kufunga wala kufungua
Sio siku za kazi wala weekend wewe ni kuuza tuu...

Ukiangalia gharama hiyo ni kama 22,000 kwa mwezi tu..

Gharama za kupata wateja huko online ni kiasi gani... Hii itategemea na bajeti yako utakayotaka kuweka ila kwa makadirio huwa ni watu 1,500 mpaka 3,000 kwa kila dollar 1 (2,400)

Inamaana kama utawekeza dollar 5 kila siku ina maana watu unaopendelea waone bidhaa yako kwa siku watakuwa ni idadi kati ya 7,500 - 15,000... Kwa kila mwezi unaweza pata watembeleaji wa bidhaa zako (225,000 - 450,000).. Kwa bajeti ya dollar 150 tu ( 367,500)

Nina uhakika na ninachoongea hapo juu

Tafakari hizo namba hapo juu na uniambie gharama utakazo ingia na wateja utakaopata....

Utajiuliza sasa wapi utapata huduma hizi kuanzia kutengenezewa mpaka maelekezo ya kutumia system na kufanya hiyo marketing ?
Mimi hapa ninayekufungulia siri hii ni developer na pia mjuzi wa mambo haya ya digital marketing..

Nitaku guide kuanzia kucraft e commerce yako..mpaka kujua namna ya kuitumia na kuisimamia...

Na pia namna gani unaweza ku control njia zako za marketing online... Utaanza kuuza kama kichaaa.. Unalala unaamka unakutana na oda za bidhaa zako...

Utaniaminije kama naweza kukutengenezea ecommerce?
Ingia www.vinjali.com uone mfano wa ecommerce niliyotengeneza ..na utaweza kuorder bidhaa...very simply ...

Kitu kingine unique kweny ecommerce yangu ni kuwa mtu kama atatumia mobile phone kufanya order.... Order itampeleka moja kwa moja whatsapp na wewe mmiliki unapata notification ya bidhaa zilizowekwa na mteja... This is amazing .....

Utanipataje na gharama zangu zikoje... Usisite njoo tujadili na tupeane madini haya muhimu kwa wafanya biashara wa kisasa ....hutajutia kunitafuta ...

Wahi sasa kabla mshindani wako hajakuwahi
Nicheki whatsapp 0711 707070 au namba ya kawaida kupiga na sms 0677 818283

Website ya demo ni www.vinjali.com
View attachment 1893797
kila biashara ni nzuri hasa ukihadithiwa ingia ndani ndo utaelewa mchezo
 
Inamaana nitakuja na mafurushi yangu yanguo au mikate na sabuni nije kuziweka huko e_commerce

Niandalie frem basi isiyo na malipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom