Nyuzi kama hizi zinatambulika kama za kikhanithi na muandikaji zezeta. NyambaaaafuNi ajabu sana kukuta mwanaume akimwomba mwanaume mwenzake ampe mimba mkewe ili amzalishe huku akiwa na uwezo wa kumpa mimba. Hicho ni kituko ambacho hata wanyama hawafanyi.
Chukulia mfano Simba, anapokuta jike lina watoto wa mwingine, kitu cha kwanza ni kuwauwa watoto wa dume jingine kabla ya kuanzisha familia yake.
Ni jambo rahisi sana kulielewa lakini cha kushangaza kuna jamii ya watu wanashindwa kabisa kuelewa hii kanuni ya asili.
Kwa miaka mingi majirani zetu wamekuwa wakiulea muziki wa "ragga" badala ya "kuvumbua" muziki wa kwao. Katika miaka ya tisini wakati sisi tunalea muziki wetu wa "bongo fava" wao walikuwa wana cheza ragga, wanawaigiza wa Jamaika kuimba kiingereza chao kibovu.
Leo hii mimba tuliyoitungisha sasa ni mtoto mkubwa aliyefuzu kiwango cha shahada ya uzamili. Sasa wenzetu wanakuja kumshangilia mwanetu tuliyemlea na kumsomesha kwa udi na uvumba.
Wakenya ni lini mtazaa wakwenu?
Wengi mnafikiri hamna waimbaji wazuri, la hasha... bali hamna muziki wenu kutoka Kenya. Jifunzeni kwetu wabongo kutengeneza kwanza muziki (genre) halafu ndiyo mtengeneze wakina Diamond na Ali Kiba.
Ni hayo tuu.
Pole.Nyuzi kama hizi zinatambulika kama za kikhanithi na muandikaji zezeta. Nyambaaaafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you trying to become Nigerian? - TID bashes HarmonizeHivi bado kuna nyimbo za Kibongo maana kila nikiskliza mnachoita Bongo flavor huwa mumeiga kila kitu cha Kinijeria, tofauti tu ni kwamba mnaimba kwa Kiswahili, lakini mengine yote kama vile midundo, sauti n.k. vyote ni Nigeria.
Ukweli unaumaNyuzi kama hizi zinatambulika kama za kikhanithi na muandikaji zezeta. Nyambaaaafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bado kuna nyimbo za Kibongo maana kila nikiskliza mnachoita Bongo flavor huwa mumeiga kila kitu cha Kinijeria, tofauti tu ni kwamba mnaimba kwa Kiswahili, lakini mengine yote kama vile midundo, sauti n.k. vyote ni Nigeria.
Mziki wa Kenya ni moja kati ya miziki bora sana. Napenda wanavyoimba kiswa-nglish na lugha za kitaa kwao mfn. Matatu- dala dala, githeri- kande
Wasanii nguli wa hizo nyimbo kutoka Kenya ni Nyashiski, sauti soul na nameless
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Ukumbuke pia ulivyo complain ni maono yako binasfi.Hayo ni mapenzi yako binasfi lakini takwimu hazioneshi hivyo.
Sasa unaula kwenye device tu? Sababu nimeshasahau tarehe ya mwisho kuona live performance ya msanii wa Kenya nchini Tanzania.Ukumbuke pia ulivyo complain ni maono yako binasfi.
Acha watu tule mziki mzuri kutoka kenya
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
For ze fasti taimu nimekubaliana nawe.Ni ajabu sana kukuta mwanaume akimwomba mwanaume mwenzake ampe mimba mkewe ili amzalishe huku akiwa na uwezo wa kumpa mimba. Hicho ni kituko ambacho hata wanyama hawafanyi.
Chukulia mfano Simba, anapokuta jike lina watoto wa mwingine, kitu cha kwanza ni kuwauwa watoto wa dume jingine kabla ya kuanzisha familia yake.
Ni jambo rahisi sana kulielewa lakini cha kushangaza kuna jamii ya watu wanashindwa kabisa kuelewa hii kanuni ya asili.
Kwa miaka mingi majirani zetu wamekuwa wakiulea muziki wa "ragga" badala ya "kuvumbua" muziki wa kwao. Katika miaka ya tisini wakati sisi tunalea muziki wetu wa "bongo fava" wao walikuwa wana cheza ragga, wakiwaiga wa Jamaika kuimba kiingereza chao kibovu cha ragga.
Leo hii mimba tuliyoitungisha sasa ni mtoto mkubwa aliyefuzu kiwango cha shahada ya uzamili. Sasa wenzetu wanakuja kumshangilia mwanetu tuliyemlea na kumsomesha kwa udi na uvumba.
Wakenya ni lini mtazaa wa kwenu?
Wengi mnafikiri hamna waimbaji wazuri, la hasha... bali hamna muziki wenu kutoka Kenya. Jifunzeni kwetu wabongo kutengeneza kwanza muziki (genre) halafu ndiyo mtengeneze waimbaji mashuhuri kama kina Diamond na Ali Kiba.
Ni hayo tuu.