chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Kila mtanzania anajua historia ya mtanzania mwengine,wanajua babu,bibi au mama kazaliwa wapi, kabila gani nk,kuhusu wasai tangu hapo mwanzo serikali za Kenya na Tanzania walikubaliana kwa hawa watu hawana nchi maalumu,hawana passpoti...Je unajua kwamba sehemu kubwa ya watu waishio Tanzania waliozaliwa na kukulia hapa hawana Cheti cha kuzaliwa? Sasa unathibitisha vipi Utanzania wao? Vipi kuhusu Wamasai ambao hawana karatasi yoyote ile? Je ni Watanzania au Wakenya?
Turudishie passport yetu,mkuu