Wakenya na Passpoti za Tanzania

Wakenya na Passpoti za Tanzania

umekosea kutaja wanyarwanda ndio maana anatumia nguvu nyingi sana kukupinga
Inawezekana mkuu...make jamaa kaleta kitu alichoshuhudia kikienda kinyume na sheria, mtu anatoa povu lake wakati hoja iko wazi, na hata kma ni watanzania, haulizi passport gani watu wanaletewa kwenye sehemu za kula? Ni ofisi? Pass inabidi mtu akachukue mwenyewe huyu kawaletea rundo watu watano...
 
Vyema waende na Wizara ya Nje, pale kuna raia wa Sweden. Ngazi ya juu kabisa. Au Sijui kama wamerudisha passport ya Mfalme Gustaf V?


jamani yooote lakini Mnyarwanda si Mtanzania
na huli aambiwe kabisa Magufuli
hii Nchi tutawauzia hawa wageni
nawashukuru sana waliombana huyo Mwanasheria wa TBS
lm kuna wengine huko Rombo hebu muarifunu UGP tuanze wafumua
Hii ni Nchi ya Vizazi vitatu nyuma nyuma kabla ya UHURU ndio MTANZANIA
 
Mtanzania ni nani? Tuanzie hapo kwanza, usisahahu hii Nchi tunayoiita Tanzania ina miaka 55 tu, hivyo ina maana mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya hapo, Uraia wake una utata, na hii inaweza kukugusa hata wewe au ndugu zako wa karibu!
Uko sahihi banyamulenge wangu hii nchi kwa sasa si passport tu Bali hata ikulu si yetu watanzania.

Who cares
 
Wanajamvi
Hili suala linatisha. Mimi ni member wa sehemu moja maarufu hapa Jijini. Ni sehemu ya Kula. Mnamo tarehe 31 May 2017 jioni, nilikaa meza Jirani na wakenya kama watano hivi wanaume wanne na mwanamke mmoja. Mara baada ya dakika kadhaa, alikuja jamaa mmoja aliyejumuika nao. Takriban dakika 30 baadae Yule jamaa kufika, alitoa rundo la Pasi ZA kusafiria ZA kitanzania ambazo hawa wakenya waligawiwa. Bila kupoteza muda, wakenya walitoa mfuko mweusi wa plastiki na kumkabidhi hawa jamaa na ghafla kuondoka. Nilitamani kujua kwamba zile pasi mpya zilikuwa za nini?

Sikufanikiwa ila, nilifanikiwa kuongea na mmoja wa hawa wakenya, ambaye pamoja na lafudhi yake aliniambia yeye ni mchaga wa Tarakea. Hawa Jirani zetu wananunua ardhi kwa kasi ya kutisha kutumia vitambulisho vya kitanzania. Wanajiita watanzania. Wanyarwanda pia hivyo hivyo. Ofisini kwetu kuna mdada mnyarwanda pia mwenye Pasi ya Tanzania anajiita muangaza. Nadhani kuna tishio kubwa mbeleni utakaotokana na watu kujizolea hizi passport za kutanzania
Kwanini uliwaacha mpaka waondoke bila kutoa taarifa Polisi au Uhamiaji?

Mtu yeyote unaomtilia shaka, unapaswa kutoa taarifa katika vyombo vya sheria ili sheria ichukuwe mkondo wake.
 
Nijibu kwanza swali nililokuuliza, Mtanzania ni yupi? Aliyezaliwa baada ya 1961, '64 au kabla ya hapo? Na je waliozaliwa kabla? Vipi kuhusu Wamasai Utanzania wao unaupimaje? Vipi kuhusu Wamakonde waishio Mtwara waliohamia ktk Msumbiji Utanzania wao unaupimaje? Vipi kuhusu wanaojiita Wanyamwezi ambao sehemu kubwa walihamia Unyanyembe (Tabora) kutoka Baganda (Uganda na Unyarwanda ya leo hii)?
Vipi Wahindi ambao walizaliwa wakati wa Bristish East Afrika Utanzania wao?

Ninachomaanisha kwako wewe Mtanzania ni yupi? Utanzania unaupimaje?


Kuvaa suruali za kubana zilizo chanika, mwanamme kuvaa hereni, kujifanya mmarekani mweusi na kuongea broken English. Wabongo wengi wanafikiri hii ndiyo status ya mtanzania.
 
Barbarosa kauliza swali zuri tu. Mtanzania ni nani?

Kuongea lafudhi ya Kenya haimaanishi wewe si Mtanzania. Kumwona mtu anayeongea lafudhi ya kinyarwanda au kikenya na pass ya Tanzania haimaanishi sio Mtanzania mkuu.Japo wahamiaji haramu wapo wa kutoka hizo nchi.

Hili halipo TZ tu. Nenda kenya Narok uone watazania walivyojazana na wengine wanakadi za kura za Tanzania na Kenya.
 
Sasa kwanini hukutoa taarifa polisi? Uwezo wa kuja hapa kuandika unao....ila kutoa taarifa polisi huwezi. Imbecile
 
Wewe pumbavu peleka upumbavu wako kwenu rwanda, wewe sio mtanzania, usidhani utanzania ni kuisifia ccm, utarudi kwenu tu.


Unajua wanaojiita Wanyanmwezi kama Lipumba, Marehemu Sita &Co. wote asili yao wanatokea Unyarwanda/Baganda? Unajua kwamba Mlm.Nyerere Raisi wa Kwanza wa Taifa hili ana asili ya Unyarwanda/Baganda? Sasa kama Kiongozi hata aliyeleta hilo jina la Tanzania ana asili ya Unyarwanda/Baganda wewe ni nani hadi uhoji? Sasa utarudisha wangapi?
 
What are you trying to justify manake swali lako haliendani na mada!!!


Sijaribu kujustify chochote bali nimeuliza, Mtanzania ni nani? Unatumia kigezo gani kusema huyu ni Mtanzania, yule siyo? Kama ni cha kuzaliwa Je, Mmasai ni nani? Kwa maana amezaliwa kwenye Manyata huko hana karatasi yoyote ile ya kusajiliwa mahali, leo yuko Kenya kesho yuko Tanzania, sasa huyu unamuitaje? Yaani kigezo cha Utanzania ni kipi?
 
Ni kweli mkuu....hasa ule uandikishaji wa vitambulisho vya taifa....ndy umeharibu kabisa.....utaratibu wake ulikuwa MBOVU SN... mtu kuulizwa umesoma wapi na kuzaliwa wapi haitoshi kumpa mtu kitambulisho cha taifa.....hata huko UHAMIAJI hakuna INTERVIEW yeyote UKIWA NA KITAMBULISHO cha URAIA ...AU KUPIGA KURA... UNAPEWA PASPORT. .udhaifu HUO umefanya WAGENI wengi KUJIPATIA PASPORT ZA TANZANIA..... Kuna WAKENYA huku maeneo ya kwetu...walipokuja walijitambulisha ni wakenya na leo wana VITAMBULISHO VYA URAIA...
 
Unajua wanaojiita Wanyanmwezi kama Lipumba, Marehemu Sita &Co. wote asili yao wanatokea Unyarwanda/Baganda? Unajua kwamba Mlm.Nyerere Raisi wa Kwanza wa Taifa hili ana asili ya Unyarwanda/Baganda? Sasa kama Kiongozi hata aliyeleta hilo jina la Tanzania ana asili ya Unyarwanda/Baganda wewe ni nani hadi uhoji? Sasa utarudisha wangapi?
Wewe akili yako haiko sawa, wanyamwezi na wanyarwanda wenzako wapi na wapi? wewe sio mtanzania na wala huna asili ya kabisa ya ndani ya Tanzania maana ndio zenu mnajificha kwa kutumia majina ya wahaya na waha kama yule aliyekuwa ofisa wa Jeshi kumbe ni kibaraka wenu kutoka rwanda.
 
Mtanzania ni nani? Tuanzie hapo kwanza, usisahahu hii Nchi tunayoiita Tanzania ina miaka 55 tu, hivyo ina maana mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya hapo, Uraia wake una utata, na hii inaweza kukugusa hata wewe au ndugu zako wa karibu!
Rubbish,Uzalendo unatakiwa,mtanzania ni yule ambae amezaliwa Tanzania au wazee wake wamezaliwa Tanzania tangu pale wazungu walipoweka mipaka ya nchi za kiafrika,kama sikosei 1883.

Hii filosofi yako mbovu kabisa,Rwanda na Burundi ilikuwa sehemu ya Tanzania kabla hawajapewa Wabelgiji,kama ni hivyo acha tuwapatie Warundi na Wanyaruanda wote pasiporti za kitanzania
 
Mkuu hili swala siyo la kuletea ushabiki wa kichama. Mimi CCM kama wewe, sema tofauti silipwi elfu 7 kuandika kama wewe. Natetea taifa.....tumevamiwa na wakenya, wachina na wanyarwanda
Wewe sio mzalendo kwa nini hukupiga simu uhamiaji ama polisi...usalama wa Taifa letu ni jukumu letu sote
 
Rubbish,Uzalendo unatakiwa,mtanzania ni yule ambae amezaliwa Tanzania au wazee wake wamezaliwa Tanzania tangu pale wazungu walipoweka mipaka ya nchi za kiafrika,kama sikosei 1883.

Hii filosofi yako mbovu kabisa,Rwanda na Burundi ilikuwa sehemu ya Tanzania kabla hawajapewa Wabelgiji,kama ni hivyo acha tuwapatie Warundi na Wanyaruanda wote pasiporti za kitanzania


Je unajua kwamba sehemu kubwa ya watu waishio Tanzania waliozaliwa na kukulia hapa hawana Cheti cha kuzaliwa? Sasa unathibitisha vipi Utanzania wao? Vipi kuhusu Wamasai ambao hawana karatasi yoyote ile? Je ni Watanzania au Wakenya?
 
Wewe akili yako haiko sawa, wanyamwezi na wanyarwanda wenzako wapi na wapi? wewe sio mtanzania na wala huna asili ya kabisa ya ndani ya Tanzania maana ndio zenu mnajificha kwa kutumia majina ya wahaya na waha kama yule aliyekuwa ofisa wa Jw aliyekuwa ndani ya Jw kumbe ni kibaraka wenu kutoka rwanda.


Unaijui Histori ya wanaojiita Wanyamwezi leo hii? Tafuta halafu utajuia walipotokea!
 
Mtanzania ni nani? Tuanzie hapo kwanza, usisahahu hii Nchi tunayoiita Tanzania ina miaka 55 tu, hivyo ina maana mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya hapo, Uraia wake una utata, na hii inaweza kukugusa hata wewe au ndugu zako wa karibu!
wewe umeguswa tayari...yeye ataguswa baadae
badala ya kuona si jambo la kwaida unaanza kulialia
 
Unajua hii nchi watu wamefundishwa chuki,fitina na uhasidi,hii nchi haitiendelea tusipo badilika,ukifika namanga upande wa kenya mtanzania unagongewa miezi tatu hata sita ukitaka ,kwetu mkenya anapewa mwisho siku saba mimi sielewi tuliingia E.A.C kwa nini,toka mwalimu kulikuwa na kipindi maalum ya majungu ilikuwa inaitwa Mikingamo,sasa vizazi vilivyo fuata vimekuwa ni chuki,wivu,fitina na uhasidi dhidi ya walionacho,kwani ardhi wakinunua na wewe siununue kama unaweza?penda usipende dunia inabadilika na kama mnataka viwanda sheria ya ardhi lazima itabadilika kama dunia ingine,hivi ardhi ya tanzania inathamani kuliko dunia ingine?mbona marekani,canada,uk nk watu wanaruhusiwa kununua ardhi,hii ni chi pekee watu wanakaa kwenye kahawa kubishania mpira,siasa na mali ya watu.
We utakuwa mhindi 100% wahindi wote huandika nyingine (ingine)
Ukajisahau ukadhihirisha kuwa wewe mhamiaji haramu!!
Ukarudia tena kama tunapenda viwanda !!
Rudi kwenu haraka iwezekanayo au ishi kwa mujibu wa sheria za Tanzania aridhi hatuzi tunauza madini tu!!
 
TANZANIA CITIZENSHIP

Tanzania citizenship is governed by the Tanzania Citizenship Act, No. 6 of b 1995 and its Regulations of 1997. There are three types of citizenship namely:

(a) Citizenship by birth.

(b) Citizenship by descent.

(c) Citizenship by Naturalization.



Naturalization of Women Married to Citizens

Naturalization of Minor

Renunciation of Tanzania Citizenship

Deprivation of citizenship of citizens by naturalization



A. CITIZENSHIP BY BIRTH

Any person born in the United Republic on or after Union day is deemed to be a citizen of the United Republic if at the time of his birth one of his parents is or was a citizen of United Republic of Tanzania.

B. CITIZENSHIP BY DESCENT:

Any person born outside the United Republic on or after Union day is deemed to be a citizen of the United Republic by descent if one of his parents is a citizen of the United Republic of Tanzania by birth or naturalization.



3. CITIZENSHIP BY NATURALIZATION :

Any person who is not a citizen of Tanzania whether by birth or by descent may apply for Tanzania citizenship by naturalization to the Minister responsible for citizenship matters.

CONDITIONS FOR CITIZENSHIP BY NATURALIZATION

Qualifications for a foreigner who applies for Tanzania Citizenship are:

i. that he has resided in the United Republic throughout the period of twelve months immediately preceding the date of application,

ii. that during the ten years immediately preceding the said period of twelve months he resided in the United Republic for periods amounting in the aggregate do not less than seven years,

iii. that he has an adequate knowledge of Kiswahili or the English language,

iv. that he is of good character,

v. that, in terms of his past and potential contribution to the national economy, or scientific and technological advancement and to the national social and cultural welfare, he would be a suitable citizen of the United Republic,

vi. that he intends, if naturalized to continue to reside permanently in the United Republic.

APPLICATION PROCEDURES

Application for Tanzania citizenship undergo the following procedures:-

i. an applicant fills in prescribed Forms.

ii. the applicant submits the application to the Ward Executive Secretary or Sheha (for the case of Zanzibar) where the applicant resides.

iii. the Ward Executive Secretary or Sheha submits the application to the District Immigration Office and the applicant pays a submission fee of USD 1500 which is non refundable.

iv. the applicant publishes in two consecutive issues of the daily news papers registered in Tanzania Main land and Zanzibar a notice of intention to apply for naturalization.

v. the applicant has to be interviewed by the District Defense and Security Committee.

vi. the District Immigration Officer forward the application to the Regional Immigration Officer who forwards the said application to the Regional Defense and Security Committee for further scrutiny.

vii. the Regional Immigration Officer forwards the application to the Commissioner Genenral of Immigration Services for his recommendation to the Minister.

viii. For the case of Zanzibar before the application is sent to the Commissioner Genenral of Immigration Services, the Commissioner of Immigration Services Zanzibar forwards the application to the office of the Second Vice President for recommendation and it is later submitted to the Commissioner Genenral of Immigration Services for his recommendation to the Minister.

ix. The Commissioner Genenral of Immigration Services forwards the recommended application to the Minister for final decision.



NATURALIZATION OF WOMEN MARRIED TO CITIZENS

A woman married to a citizen of the United Republic shall at any time during the life time of the husband be entitled upon making an application in a prescribed form, to be naturalized as a citizen of the United Republic.

APPLICATION PROCEDURE FOR A MARRIED WOMAN:

i. the applicant fills in prescribed Forms.

ii. the applicant may submit the application to the District, Regional immigration office or at the Headquarters and pays a submission fee of USD 1500 which is non refundable.

iii. the applicant publishes in two consecutive issues of the daily news papers registered in Tanzania Main land and Zanzibar a notice of intention to apply for naturalization.

iv. the District or Regional Immigration Officer forwards the application to the Commissioner Genenral of Immigration Services for his recommendations.

v. The Commissioner Genenral of Immigration Services forwards the application to the Minister for final decision.

REQUIREMENTS:

The application for Tanzania citizenship by a married woman should be attached with:

i. Proof of husband's citizenship.

ii. Marriage certificate registered in Tanzania.

iii. A copy of valid national passport

iv. A proof of valid immigration status.

v. Five recent passport size photographs.



NATURALIZATION OF A MINOR

The minister may cause the Minor child of any citizen of the United Republic to be naturalized as a citizen of the United Republic upon application made in the prescribed manner by a parent or guardian of a child.

APPLICATION PROCEDURES FOR A MINOR:

i. the parent or guardian fills in prescribed Forms.

ii. the parent or guardian may submit the application to the District, Regional immigration office or at the Headquarters.

iii. The District or Regional Immigration Officer forwards the application to the Commissioner Genenral of Immigration Services for recomendations.

iv. The Commissioner Genenral of Immigration Services forwards the application to the Minister for final decision.

NOTE:

A Parent or guardian must be a citizen and he has to proof that he is a citizen of the United Republic.

REQUIREMENTS:

The application for Tanzania citizenship for a minor should be attached with:

i. Proof of citizenship of parent or guardian

ii. Birth certificate of a child

iii. A valid Immigration status

iv. Five recent passport size photographs

v. the parent or guardian pays a submission fee of USD 1500 which is non refundable.



RENUNCIATION OF TANZANIA CITIZENSHIP

The procedures for renunciation of Tanzania citizenship:

i. Applicant Fills in prescribed forms.

ii. Submission of the application forms to the Immigration Office, Embassies/High commission where an applicant resides,

iii. Submission of the application forms to the Commissioner Genenral of Immigration Services.

iv. The Commissioner Genenral of Immigration Services forward the application to the Minister who registers the declaration made by applicant.

REQUIREMENTS

The application for renunciation of Tanzania citizenship should be attached with:

i. Approval of the grant of citizenship from the other Country.

ii. Return of Tanzania passport.

iii. Five recent passport size photographs.

iv. Payment of renunciation fees of USD 60.



DEPRIVATION OF CITIZENSHIP OF CITIZENS BY NATURALIZATION

The Minister may by order deprive the citizenship of any citizen of the United Republic who is a citizen by naturalization if he is satisfied that the certificate of naturalization was obtained by means of fraud, false representation, or concealment of any material facts or else as provided under Tanzania Citizenship Act of 1995 and its Regulation of 1997.
 
Back
Top Bottom