Wakenya na Passpoti za Tanzania

Wakenya na Passpoti za Tanzania

Unajua hii nchi watu wamefundishwa chuki,fitina na uhasidi,hii nchi haitiendelea tusipo badilika,ukifika namanga upande wa kenya mtanzania unagongewa miezi tatu hata sita ukitaka ,kwetu mkenya anapewa mwisho siku saba mimi sielewi tuliingia E.A.C kwa nini,toka mwalimu kulikuwa na kipindi maalum ya majungu ilikuwa inaitwa Mikingamo,sasa vizazi vilivyo fuata vimekuwa ni chuki,wivu,fitina na uhasidi dhidi ya walionacho,kwani ardhi wakinunua na wewe siununue kama unaweza?penda usipende dunia inabadilika na kama mnataka viwanda sheria ya ardhi lazima itabadilika kama dunia ingine,hivi ardhi ya tanzania inathamani kuliko dunia ingine?mbona marekani,canada,uk nk watu wanaruhusiwa kununua ardhi,hii ni chi pekee watu wanakaa kwenye kahawa kubishania mpira,siasa na mali ya watu.
Acha kuongea upumbavu wako hapa yaan mnataka kumiliki ardhi kwa udanganyifu afu tukae kimya njoon kama wawekezaji hapo tutawaelewa
 
.
Mtanzania ni nani? Tuanzie hapo kwanza, usisahahu hii Nchi tunayoiita Tanzania ina miaka 55 tu, hivyo ina maana mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya hapo, Uraia wake una utata, na hii inaweza kukugusa hata wewe au ndugu zako wa karibu!

Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji hawana uzalendo kwa tamaa ya pesa.
 
Ila anachoongea ni cha kweli kabisa kuna udhaifu sana uhamiaji
Cha muhimu pale uhamiaji ni kuweka watu wa TISS na wote wanaotiliwa mashaka kuwa siyo raia wanapo peleka maombi ya pasi wafanyiwe vetting ya kutosha. Hii ikifanyika huu uhuni uhuni utaoungua au kuisha kabisa!
 
dont worry too much, baadae tutakuja kuwatafuta wenye uraia fake! Hapo ndipo watakotuuzia mijumba yao kwa hela za vibanda vyetu.

Waache waje wawekeze, tena watangazie waje kwa wingi zaidi
 
Naunga hoja mkono!
Unajua hii nchi watu wamefundishwa chuki,fitina na uhasidi,hii nchi haitiendelea tusipo badilika,ukifika namanga upande wa kenya mtanzania unagongewa miezi tatu hata sita ukitaka ,kwetu mkenya anapewa mwisho siku saba mimi sielewi tuliingia E.A.C kwa nini,toka mwalimu kulikuwa na kipindi maalum ya majungu ilikuwa inaitwa Mikingamo,sasa vizazi vilivyo fuata vimekuwa ni chuki,wivu,fitina na uhasidi dhidi ya walionacho,kwani ardhi wakinunua na wewe siununue kama unaweza?penda usipende dunia inabadilika na kama mnataka viwanda sheria ya ardhi lazima itabadilika kama dunia ingine,hivi ardhi ya tanzania inathamani kuliko dunia ingine?mbona marekani,canada,uk nk watu wanaruhusiwa kununua ardhi,hii ni chi pekee watu wanakaa kwenye kahawa kubishania mpira,siasa na mali ya watu.
 
dont worry too much, baadae tutakuja kuwatafuta wenye uraia fake! Hapo ndipo watakotuuzia mijumba yao kwa hela za vibanda vyetu.

Waache waje wawekeze, tena watangazie waje kwa wingi zaidi
Majanga kweli kweli. Nakwambia wakenya ni wengi kupitiliza wanavyo hadi vitambulisho vya kiraia
 
Tena hii speed ya wachina ni hatari sana na wanajifunza lugha ya kiswahili kwa haraka sana. Nadhani wangekuja kama wawekezaji ila sio wafanyabiashara ndogo ndogo. Hizi kazi watuachie wabongo.

Tatizo ni pale machinga wa kichina hakamatwi eti ni mwekezaji lakini mtanzania anachezea virungu vya mgambo inauma Sana.
 
Hilo tukio siyo geni kila kona ya mipakani kuna majanga mahala fulani niliona mjengo wananchi watalalamika kuwa mmiliki ni mkenya na kila mtu anaelewa lakini ofisi za uhamiaji, polisi wapo umbali wa 1 km tu toka alipojenga huyo mtu.

Kwa hiyo, hii issue Kwa kifupi uhamiaji waliishashindwa kitambo sana, hakuna wanachokifanya.

Na wanapokea rushwa ya passoort, vibali vya kuishi na vibali vya kazi .

Na ndiyo maana rais Dr. Magufuli , alipoteua yule Mama pale uhamiaji alimuagiza akafanye mabadiliko ngoja tusubirie matokeo yake sote tuone hatima yake.
 
Mwenye Enzi Mungu tulinde nchi yangu Tanzania, kumbuka maagano na ahadi ulizotupa nchi yangu Tanzania!
 
s

Swali la kipuuzi kwa hoja ya maana,je umejiuliza kwa nini watanzania halisi wachukulie paspoti zao ugenini tena mahali pasipo ofisi ya serikali? au muuliza swali ni sehemu ya waliofaidika na uovu huu
Kwa kweli
 
Acha kelele uzembe umeufanya mwenyewe ulikuwa wapi kwenda kutoa taarifa??? Umeniudhi ningekuwa karibu na wew ningekupiga na kibao. Yani watanzania sijui tumeumbwaje wew umeliona tukio live ukaacha umekuja kulalamikia mtandaoni na hii tabia ya kukosa uthubutu ndiyo inayotumaliza...!!!
 
Hiii nchi ishakua kimeo
Anaendesha hii nchi
Na yy n kimeo tu

Skuhiz mkono wako ukiwa
Mrefu chochote unachotaka
Kwa hii nchi dk 1 moja tu
 
Nijibu kwanza swali nililokuuliza, Mtanzania ni yupi? Aliyezaliwa baada ya 1961, '64 au kabla ya hapo? Na je waliozaliwa kabla? Vipi kuhusu Wamasai Utanzania wao unaupimaje? Vipi kuhusu Wamakonde waishio Mtwara waliohamia ktk Msumbiji Utanzania wao unaupimaje? Vipi kuhusu wanaojiita Wanyamwezi ambao sehemu kubwa walihamia Unyanyembe (Tabora) kutoka Baganda (Uganda na Unyarwanda ya leo hii)?
Vipi Wahindi ambao walizaliwa wakati wa Bristish East Afrika Utanzania wao?

Ninachomaanisha kwako wewe Mtanzania ni yupi? Utanzania unaupimaje?
Punguza siasa mkuu. Ishu muhimu kama hii ukiweka siasa unahalibu sana. Jibu unalo mwenyewe kwamba mtanzania ni mtu aliyezaliwa apa au aliyefata taratibu maalum za kuwa mtanzania, lakini ishu kama hii ukileta siasa unahalibu sana. Hii nimekutana nayo hata mimi, awa Wakenya na wanyarwanda na warundi wanakuja apa Tanzania wanafanya kuoa au kuolewa na mtanzania kwa ajili ya kupata uraia wa Tanzania. Baada ya apo ananunua aridhi ya kutosha na analeta ndugu zake wanajazana apa Tanzania na kufanya ujasiliamali wa kulima au kufuga na kufanya biashara apa Tanzania.
 
Jamn suala hili sio la kubeza n hatari na rahisi kupandikiza wapelelez mtu kununua ardhi tu kiholela na yeye sio raia halali atazaa watoto na kusema watanzania na wao watasema baba yao mtanzania kumbe alkuwa na paspot feki ya kitanzania au halali maana watu hawa utengeneza mpaka vyeti vya kuzaliwa feki....bahat mbaya hata uko uhamiaji haawana system ya kuonesha hiki cheti feki au halali....hili ni tatzo acheni kubeza....

suala la kugongewa miezi 6 namanga halihusiani na watu kupewa paspot feki au kujtia wao watanzania wakat wakenya pure n kinyume cha sheria......

mbona zipo nchi free way mfano british virgin island unaenda bila ya visa tiket yako tu unakaa miez 3 baada ya hapo urud kwenu au ulipie....jamn tusichanganye mambo ya kugongewa na suala la watu kununua ardhi ovyo na wao sio wazawa.......nenda pemba huone kama utauziwa ardhi kama ww sio mpemba usahau
 
Acha kuongea upumbavu wako hapa yaan mnataka kumiliki ardhi kwa udanganyifu afu tukae kimya njoon kama wawekezaji hapo tutawaelewa
We unajua sheria ya uwekezaji au uko kijijini unaongea tu,hii nchi hamna mtu atawekeza hela yake halafu mtanzania aliopokijiweni apewe asilimia 51 ya ubia bure,viwanda ni ndoto kujengwa bila kurekebisha sheria,lazima mwekezaji aruhusiwe kumiliki mali yake 100% kama kenya.
 
What are you trying to justify manake swali lako haliendani na mada!!!
Huyo jamaa ni mnyarwanda ndio maana kila mada inayohusu wahamiaji haramu anajitokeza kufanya utetezi, amejificha ccm kama serukamba.
 
Back
Top Bottom