Mfano mzuri ni Mbunge wa Kiteto na dharau kubwa kwa Wantazania kila siku kwake Wantanzania ni wajinga na ndiyo maana kwenye biashara zake zote ameajiri Wanyarwanda ili siri zake zisifuje? Wafanyakazi wakinyarwanda awewaajiri kuazia mashambani hadi kwenye maduka yake ya jumlaPunguza siasa mkuu. Ishu muhimu kama hii ukiweka siasa unahalibu sana. Jibu unalo mwenyewe kwamba mtanzania ni mtu aliyezaliwa apa au aliyefata taratibu maalum za kuwa mtanzania, lakini ishu kama hii ukileta siasa unahalibu sana. Hii nimekutana nayo hata mimi, awa Wakenya na wanyarwanda na warundi wanakuja apa Tanzania wanafanya kuoa au kuolewa na mtanzania kwa ajili ya kupata uraia wa Tanzania. Baada ya apo ananunua aridhi ya kutosha na analeta ndugu zake wanajazana apa Tanzania na kufanya ujasiliamali wa kulima au kufuga na kufanya biashara apa Tanzania.
Huyo mbunge ni nani? hebu weka taarifa vizuri ajulikane.Mfano mzuri ni Mbunge wa Kiteto na dharau kubwa kwa Wantazania kila siku kwake Wantanzania ni wajinga na ndiyo maana kwenye biashara zake zote ameajiri Wanyarwanda ili siri zake zisifuje? Wafanyakazi wakinyarwanda awewaajiri kuazia mashambani hadi kwenye maduka yake ya jumla
Sina tatizo na hilo tena mada yako inahitaji mjadala wa kina! Lakini hapa ulipoileta si pahala pake na matokeo yake inaonekana wazi ni hoja inayojaribu ku-justify tukio zima. Kimsingi, hata kama kuna wanaokutuhumu Unyarwanda n.k lakini kwangu naona unajaribu ku-justify hii corruptive practice from sensitive government department... your beloved government! Jambo lisilo na shaka kwenye hii mada ni suala la CORRUPTION! Hata kama hao jamaa wangekuwa ni Watanzania bado suala la corruption lipo pale pale kwa sababu passport inayopatikana kwa njia halali hazipatikani through mentioned delivery channel!Sijaribu kujustify chochote kile, bali najaribu kuelezea hali halisi kwamba swala la Uraia Tanzania ni gumu sana kwa sababu sehemu kubwa ya watu wa Tanzania Serikali haiwajui, Tanzania kuna watu wanazaliwa, wanakuwa, wanazeeka wanakufa na kuzikwa Serikali haijui chochote kuhusu wao kama hata walikuwepo, na hii ni Karne ya 21, sasa tungeanza kushughulikia hilo kwanza!
Kwahiyo hiyo EAC ndiyo inatoa ruhusa ya watu kupewa pasi za kusafiria restaurant? Au hiyo EAC ndiyo inayosema raia mmoja wa nchi mojawapo ya EAC anaweza kupewa passport ya nchi nyingine?!Unajua hii nchi watu wamefundishwa chuki,fitina na uhasidi,hii nchi haitiendelea tusipo badilika,ukifika namanga upande wa kenya mtanzania unagongewa miezi tatu hata sita ukitaka ,kwetu mkenya anapewa mwisho siku saba mimi sielewi tuliingia E.A.C kwa nini,toka mwalimu kulikuwa na kipindi maalum ya majungu ilikuwa inaitwa Mikingamo,sasa vizazi vilivyo fuata vimekuwa ni chuki,wivu,fitina na uhasidi dhidi ya walionacho,kwani ardhi wakinunua na wewe siununue kama unaweza?penda usipende dunia inabadilika na kama mnataka viwanda sheria ya ardhi lazima itabadilika kama dunia ingine,hivi ardhi ya tanzania inathamani kuliko dunia ingine?mbona marekani,canada,uk nk watu wanaruhusiwa kununua ardhi,hii ni chi pekee watu wanakaa kwenye kahawa kubishania mpira,siasa na mali ya watu.
Ni kweli ila hujasema kwanini passport zitolewe kiholela
Mkuu hili swala siyo la kuletea ushabiki wa kichama. Mimi CCM kama wewe, sema tofauti silipwi elfu 7 kuandika kama wewe. Natetea taifa.....tumevamiwa na wakenya, wachina na wanyarwanda
Hauna haja ya kukwepesha mada na msimamo wako ... ila inasikitisha sana kuona hata wewe tukudhaniaye ni CCM kindakindaki unatetea huu upuuzi; ni kwa maslahi yako binafsi au nawe ni pandikizi? I see, now iko wazi tuko compromised big time!! Its time now vyombo vya dola vikaendelea na ile operation ya JK kuondoa haya magugu, tusipokuwa makini tutakuja kuula wa chuya!Sijaribu kujustify chochote kile, bali najaribu kuelezea hali halisi kwamba swala la Uraia Tanzania ni gumu sana kwa sababu sehemu kubwa ya watu wa Tanzania Serikali haiwajui, Tanzania kuna watu wanazaliwa, wanakuwa, wanazeeka wanakufa na kuzikwa Serikali haijui chochote kuhusu wao kama hata walikuwepo, na hii ni Karne ya 21, sasa tungeanza kushughulikia hilo kwanza!
Pambafu, umekalisha makalio hapo Lumumba kumbe hujui sifa ya kuwa Mtanzania?Nijibu kwanza swali nililokuuliza, Mtanzania ni yupi? Aliyezaliwa baada ya 1961, '64 au kabla ya hapo? Na je waliozaliwa kabla? Vipi kuhusu Wamasai Utanzania wao unaupimaje? Vipi kuhusu Wamakonde waishio Mtwara waliohamia ktk Msumbiji Utanzania wao unaupimaje? Vipi kuhusu wanaojiita Wanyamwezi ambao sehemu kubwa walihamia Unyanyembe (Tabora) kutoka Baganda (Uganda na Unyarwanda ya leo hii)?
Vipi Wahindi ambao walizaliwa wakati wa Bristish East Afrika Utanzania wao?
Ninachomaanisha kwako wewe Mtanzania ni yupi? Utanzania unaupimaje?