Wakenya na Passpoti za Tanzania

Wakenya na Passpoti za Tanzania

Unajua hii nchi watu wamefundishwa chuki,fitina na uhasidi,hii nchi haitiendelea tusipo badilika,ukifika namanga upande wa kenya mtanzania unagongewa miezi tatu hata sita ukardhiaka ,kwetu mkenya anapewa mwisho siku saba mimi sielewi tuliingia E.A.C kwa nini,toka mwalimu kulikuwa na kipindi maalum ya majungu ilikuwa inaitwa Mikingamo,sasa vizazi vilivyo fuata vimekuwa ni chuki,wivu,fitina na uhasidi dhidi ya walionacho,kwani ardhi wakinunua na wewe siununue kama unaweza?penda usipende dunia inabadilika na kama mnataka viwanda sheria ya ardhi lazima itabadilika kama dunia ingine,hivi ardhi ya tanzania inathamani kuliko dunia ingine?mbona marekani,canada,uk nk watu wanaruhusiwa kununua ardhi,hii ni chi pekee watu wanakaa kwenye kahawa kubishania mpira,siasa na mali ya watu.
Kwenye moja ya hotuba za Mwl. alipinga hHawa wageni kuuziwa ardhi kama nguo kwasababu nchi itakuwa ya watwana wazawa hawatakuwa Na ardhi wakati wageni wamehodhi ardhi, kwa nia njema ikatungwa sSheria inayozuia mgeni kuuziwa ar
 
Wewe pumbavu peleka upumbavu wako kwenu rwanda, wewe sio mtanzania, usidhani utanzania ni kuisifia ccm, utarudi kwenu tu.
Nimepitia comments za watu kwenye thread hii, nilichogundua ni kuwa "walio wengi siyo wazao wa Tanzania, ndio maana wazo la thread hii linapingwa vikali bila kurejea aina za uraia"

Tuwaombe watu wa immigration (uhamiaji) wajipange vizuri kudhibiti hili tatizo.
 
Sawa, RUDI KWENYE MADA au kuwa wazi ni nini hasa unajaribu ku-justify !!

Sijaribu kujustify chochote kile, bali najaribu kuelezea hali halisi kwamba swala la Uraia Tanzania ni gumu sana kwa sababu sehemu kubwa ya watu wa Tanzania Serikali haiwajui, Tanzania kuna watu wanazaliwa, wanakuwa, wanazeeka wanakufa na kuzikwa Serikali haijui chochote kuhusu wao kama hata walikuwepo, na hii ni Karne ya 21, sasa tungeanza kushughulikia hilo kwanza!
 
Mtanzania ni nani? Tuanzie hapo kwanza, usisahahu hii Nchi tunayoiita Tanzania ina miaka 55 tu, hivyo ina maana mtu yoyote aliyezaliwa kabla ya hapo, Uraia wake una utata, na hii inaweza kukugusa hata wewe au ndugu zako wa karibu!
Ushaanza mavyama
 
Kama anaenda kuchunga ng'ombe na kurudi unauliza nini sasa?

Akiulizwa Kenya anasema yeye Mtanzania na akiulizwa Tanzania anasema yeye Mkenya inategemea anafaidika wapi, kwa mfano Boda wote tunahitaji hati ya kusafiria kuvuka lkn Mmasai hana hati na haulizwi anapita na kurudi!
Na hapo nimetumia Mmasai kama mfano tu, lkn Jamii nyingi zinazoishi Mipakani ziko hivyo!
 
Nimepitia comments za watu kwenye thread hii, nilichogundua ni kuwa "walio wengi siyo wazao wa Tanzania, ndio maana wazo la thread hii linapingwa vikali bila kurejea aina za uraia"

Tuwaombe watu wa immigration (uhamiaji) wajipange vizuri kudhibiti hili tatizo.
Hao watu wapo mitaani hivyo ni kuwachunguza na kuwaripoti uhamiaji na polisi kwa mara moja.
 
Akiulizwa Kenya anasema yeye Mtanzania na akiulizwa Tanzania anasema yeye Mkenya inategemea anafaidika wapi, kwa mfano Boda wote tunahitaji hati ya kusafiria kuvuka lkn Mmasai hana hati na haulizwi anapita na kurudi!
Na hapo nimetumia Mmasai kama mfano tu, lkn Jamii nyingi zinazoishi Mipakani ziko hivyo!
Kwani wale wanyarwanda wenzako wanaliofurumushwa kwenye hifadhi zetu kule Kagera na wakati wa operesheni kimbunga walijulikana vipi?
 
Kwani wale wanyarwanda wenzako wanaliofurumushwa kwenye hifadhi zetu kule Kagera na wakati wa operesheni kimbunga walijulikana vipi?

Sielewi hiyo kesi isitoshe mimi siyo Mnyarwanda na wala sina uhusiano na watu wa huko, mimi kwetu ni Rufiji kama ulitaka kujua!
Kwa nini Generali Ulimwengu aliitwa siyo Mtanzania na kufukuzwa kazi?
 
Sielewi hiyo kesi isitoshe mimi siyo Mnyarwanda na wala sina uhusiano na watu wa huko, mimi kwetu ni Rufiji kama ulitaka kujua!
Kwa nini Generali Ulimwengu aliitwa siyo Mtanzania na kufukuzwa kazi?
Sasa ndio ujue watanzania wanafahamiana. Ni lazima taratibu zifuatwe. Kutumia passport ya nchi nyingine kunaweza kuchafua taswira ya nchi husika kimataifa kwa sababu hata magaidi wanaweza kutumia passport ya nchi nyingine kufanya ugaidi wao na kisha lawama ikafika kwa nchi husika na ndio maana nchi nyingi haziruhusu uraia wa nchi zaidi ya moja kwa sababu za kiusalama.
 
Mkuu hili swala siyo la kuletea ushabiki wa kichama. Mimi CCM kama wewe, sema tofauti silipwi elfu 7 kuandika kama wewe. Natetea taifa.....tumevamiwa na wakenya, wachina na wanyarwanda
Ni kweli,wale wa Mombasa hudanganya ni watu wa Tanga,hupata passport, na wale wa mpakani na Musoma hujiita Wajaluo na kuchukua passport kilaini.Uhamiaji especially mikoani hawapo makini sana,au wanakula rushwa.
 
What are you trying to justify manake swali lako haliendani na mada!!!
Na raia wa Tanzania ameelezwa vizuri sana kwenye kitabu cha URAIA kidato cha kwanza.!pamoja na aina za uraia
 
Ila anachoongea ni cha kweli kabisa kuna udhaifu sana uhamiaji
Anachoongea kina ukweli. Ila asitumie lafudhi ya lugha kama kigezo cha kumtambua Mtanzania. Kuna Watanzania wengi tu wamekulia nje ya nchi ambao wameamua kurudi baada ya kuwa wakubwa. Wengi wao hawawezi kuongea Kiswahili kwa ufasaha.

Kwa ujumla, loophole za mambo ya uhamiaji zipo kila nchi ndiyo maana ulisikia Watanzania wanatimuliwa Mozambique na wengine kukamatwa Malawi.

Hata ukienda Kenya utawasikia wanalalamika kuhusu Wasomali na Waethiopia. Hata Marekani au Ulaya wanalalamika ....!! Kwa maswala ya Uraia huwezi kuwa na control 100 % ........ Tanzania tuna disadvantages nyingi kwa vile tunapakana na nchi nyingi na halafu hatuna identification system nzuri ya raia wetu toka walizaliwa na hata wakiwa wakubwa.
 
Kuna udhaifu kwenye kudhibiti wahamiaji haramu,Ukienda Kenya ,unakaguliwa mpaka unachoka.ila Bongo unapita tu..Haifai watu wa mataifa ya kigeni kunyakua ardhi yetu..halafu watoto wetu waje kuteseka..
 
kinachoshangaza watanzania wenyewe wenye nchi yao wamewekewa masharti magumu ya kupata pasi hata ukiwa na kitambulisho cha uraia bado inakubidi kujaza fomu chungu nzima
 
Unajua hii nchi watu wamefundishwa chuki,fitina na uhasidi,hii nchi haitiendelea tusipo badilika,ukifika namanga upande wa kenya mtanzania unagongewa miezi tatu hata sita ukitaka ,kwetu mkenya anapewa mwisho siku saba mimi sielewi tuliingia E.A.C kwa nini,toka mwalimu kulikuwa na kipindi maalum ya majungu ilikuwa inaitwa Mikingamo,sasa vizazi vilivyo fuata vimekuwa ni chuki,wivu,fitina na uhasidi dhidi ya walionacho,kwani ardhi wakinunua na wewe siununue kama unaweza?penda usipende dunia inabadilika na kama mnataka viwanda sheria ya ardhi lazima itabadilika kama dunia ingine,hivi ardhi ya tanzania inathamani kuliko dunia ingine?mbona marekani,canada,uk nk watu wanaruhusiwa kununua ardhi,hii ni chi pekee watu wanakaa kwenye kahawa kubishania mpira,siasa na mali ya watu.
Acha kutetea mambo ya ajabu vizazi vijavyo vitakosa ardhi zitakua zimeshachukuliwa na wageni bila shaka sio mtanzania wewe
 
Back
Top Bottom