Wakenya na Entertainment

Wakenya na Entertainment

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
317
Cheki hii uone jamaa wanavyojua kuji-entertain! Huyu Churchill live anaburudisha kweli. Bongo zaidi ya ZeComedy, naona bado hii fani inatupiga chenga!

P.S: I wonder dance styles za bongo zikoje!

Last edited by a moderator:
Za kibongo zinaitwa kiduku, hiyo kitu hujapataona
 
Wenzetu kenya ni wabufu kweli kweli siyo comedy za kibongo wanaigiza mambo ya kipwani tuuu! Na kuigiza ziara na hotuba za viongozi wetu.
Wabongo hawavai uhalisia kabisa yani.
Nawapenda sana wakenya they are creative...even if they do copy and paste it doesn't matter,they never give up,they fear nothing and they regreat less.
 
Churchhill anaentertain ile mbaya,huku bongo tunazinguana tu
 
Wenzetu kenya ni wabufu kweli kweli siyo comedy za kibongo wanaigiza mambo ya kipwani tuuu! Na kuigiza ziara na hotuba za viongozi wetu.
Wabongo hawavai uhalisia kabisa yani.
Nawapenda sana wakenya they are creative...even if they do copy and paste it doesn't matter,they never give up,they fear nothing and they regreat less.

Mimi nakumbuka mwaka 90 nilikuwa naangalia ile vitimbi, vioja mahakamani, kuna ile tamthilia ya kina Zoa (nimesahau jina, lakini wimbo wake ulikuwa unaanza chura anaulizia..."). Sasa bongo enzi hizo sifuri! Jamaa wametupiga gap...
 
hii dance ya kangaroo ni noma! angalia kwanzia dakika ya 6.15....nimeipenda kweli.
 
Mimi nakumbuka mwaka 90 nilikuwa naangalia ile vitimbi, vioja mahakamani, kuna ile tamthilia ya kina Zoa (nimesahau jina, lakini wimbo wake ulikuwa unaanza chura anaulizia..."). Sasa bongo enzi hizo sifuri! Jamaa wametupiga gap...

You know what CHAPAKAZI....This guys always means business..wasanii wengi wa bongo wanapenda tu kuuza sura mara wanang'ata midomo,mara hair style kila kukicha wanasahau kuwa usani is what you deliver and not how you appear before the audience.
 
Mtu aliyetuharibu ni Nyerere na siasi zake za ujamaa. Ziliwadumaza Watz na kuwaacha wakiwa wamezubaa! Enzi za mipago na marufuku!
 
Nakipenda hicho kipindi cha Churchil Live jamaa anaweza tusifichane
 
Back
Top Bottom