Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

Kenya has the most powerful military in East Africa, Kenya has the most quality education in East Africa, Kenya is the only Democratic country in East Africa.
Hongereni na tunajua.. Back to my concern iliwasaidia nini kusuluhisha issue ya migingo na kufanya COW kuwa successful story.
 
I'm sure Kenya is doing all these intentionally just to see what these witches and sorcerers can do.
1)Kenya iliongoza formation ya CoW, Tanzania haikushiriki, CoW died
2)Kenya iliongoza kampeni ya EAC kujiunga na EPA, Tanzania ilipinga. EAC haikujiunga na EPA.
3) Kenya iliongoza kuanzishwa kwa " East Africa single tourist visa, Tanzania tulikata kujiunga, pamoja na nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuanzisha, lakini hili zoezi limekufa.
4)Kenya ilizuia gari za utalii toka Tanzania kufikia JKIA, Tanzania tukapunguza safari za KQ, Kenya ikasalimu AMRI, gari za Tanzania zikaruhusiwa kufikia JKIA.
5) Kenya imepiga kelele kutaka tufungue Bologojo entry point kati ya Serengeti na Masai Mara, Tumekataa hadi leo,
6) Tulikama Ng'ombe za wakenya na kuziuza, hakuna kitu Kenya ilifanya zaidi ya kulialia tu.

Hii inaonyesha kwamba Tanzania inachotaka ndio kitakachotokea hapa EAC
 
Eti powerful military wakati alshabab wanawalambisha lolo daily basis.
Kenya has neutralize Al- Shaabab single handedly. For the case of attack even USA,France and other powerful States are being attacked by terrorist.
 
EAC is like UN where all the five countries have to agree an issue before that issue is undertaken. If one nation fails to do so then it will not proceed. What you are bragging about even Burundi does it everyday so nothing special with it.
 
Kenya has neutralize Al- Shaabab single handedly. For the case of attack even USA,France and other powerful States are being attacked by terrorist.
Kadanganye wapuuzi, mmeshauwawa kama 600 lakini mlioua hawazidi 20
 
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada hizo zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.

Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na hii ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.

>>> Wakenya waanza kulialia baada ya tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia serengeti

>>> Nyie kenya ujenzi wa barabara mbuga ya serengeti nini tatizo

Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
Ngoja wajenge na sisi tutajenga bwawa kubwa la kuwanywesha wanyama kutoka ziwa victoria wasiende Masai Mara tuwaone kama watapata watalii
 
Hata Tanzania kulikua na terrorists wengi tu lakini kawatafute saivi kama utawaona, don't camouflage your weakness kwenye sababu za kipumbavu. You weak and low period.
Niletee figures sitaki maneno mingi za kichawi. Bring on the figures.
 
Hiyo strong military ya kwenye karatasi! Somalia kumewashinda mgekuwa hiyo strong military hapo Westgate mbona mlizalilika, acheni vimaneno vya mitaani, TZ tupo kimya msituchezee kabisa kijeshi mtaangamia.
Kenya has the most powerful military in East Africa, Kenya has the most quality education in East Africa, Kenya is the only Democratic country in East Africa.
 
EAC is like UN where all the five countries have to agree an issue before that issue is undertaken. If one nation fails to do so then it will not proceed. What you are bragging about even Burundi does it everyday so nothing special with it.
That applies for EPA only, what about CoW, about tourist visa, about your cows, about blocking our vans to JKIA, all these could be go on without all countries to agree, but failed because of Tanzania's influences in EAC
 
Back
Top Bottom