Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,129
- 7,447
Tulichoma vifaranga1)Kenya iliongoza formation ya CoW, Tanzania haikushiriki, CoW died
2)Kenya iliongoza kampeni ya EAC kujiunga na EPA, Tanzania ilipinga. EAC haikujiunga na EPA.
3) Kenya iliongoza kuanzishwa kwa " East Africa single tourist visa, Tanzania tulikata kujiunga, pamoja na nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuanzisha, lakini hili zoezi limekufa.
4)Kenya ilizuia gari za utalii toka Tanzania kufikia JKIA, Tanzania tukapunguza safari za KQ, Kenya ikasalimu AMRI, gari za Tanzania zikaruhusiwa kufikia JKIA.
5) Kenya imepiga kelele kutaka tufungue Bologojo entry point kati ya Serengeti na Masai Mara, Tumekataa hadi leo,
6) Tulikama Ng'ombe za wakenya na kuziuza, hakuna kitu Kenya ilifanya zaidi ya kulialia tu.
Hii inaonyesha kwamba Tanzania inachotaka ndio kitakachotokea hapa EAC