Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

Kama kuna mdada we Kenya,,,please njoo inbox,,,,looking for a friend
 
Habari JF...
Huwa najiuliza mbona siwaoni wakenya kwenye jukwaa la love connect....
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa Tanzania???
Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
Safi sana kwa thread yako,,,U ar a really great minded thinker,,,,Luv u mdada
 
Huyu jamaa ni nigga mjinga. Ataka kujifananisha na mzungu. nimetazama video za Diamond, NAvy Kenzo na wengine ambao siwakumbuki majina. Kwa hizo video zao huweka wazungu sana. This shows how some self hating those guys are.
Lupita Mjaluo na huo weusi waki alivotiwa kuwa the sexiest woman alive, 2014. The same ntitle akina Angelina Jolie, Halle Berry, Tom Cruise got some years back
People (magazine) - Wikipedia
shenzzi
Uzuri hauangalii rangi na ni mshamba pekee anayebabaikia weupe,ila kusema lupita is the sexiest woman alive ni urongoo,labda sababu alishinda oscar,hata weye kweli ukimwangalia lupita utasema ni sexiest woman alive jamani,au labda macho yangu mabovu
 
Wakenya hawanaga lugha ya mahaba ukitaka kujua sikiliza nyimbo zao za mapenzi ni msuli mwanzo mwisho
 
It was 2014 ryt? and i think they named it 'beautifu' not 'sexy' beautiful is very general and at the time she was in her rise to fame, i think it was understandable
And very helpful to be honest. Against self hate ya black skin. Wanaitwa Nilotes. Wweusi ti ti ti. Lakini naipenda ngozi yao
 
Naomba unitumie na link ya love connect

Habari JF...
Huwa najiuliza mbona siwaoni wakenya kwenye jukwaa la love connect....
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa Tanzania???
Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
 
Wadada wa tz wanapenda sana mabwana wa kikenya tena wakisikia na kile kiswahil chao uwiiiii wana pee kabisa, angalizo nyie wakenya mademu wa kibongo ni wakwaruaji hatari waulizeni wenzio wanavowavuna huku.
 
Back
Top Bottom