Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

Habari JF...

Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....

Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???

Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???

Wakenya wacha wapambane wenyewe na sisi watz tunawezana wenyewe
 
Habari JF...

Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....

Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???

Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???

Itabid uwafate tu huko nakuru au kisumu...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom