Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

Wakenya hawanaga lugha ya mahaba ukitaka kujua sikiliza nyimbo zao za mapenzi ni msuli mwanzo mwisho

Come Back To Me - Tatuu Ft Ulopa
Queen - Christian & Lovy
Saa Zingine - Didge
Haya - Harry Kimani
Mawazo - Ameleena

Umemsahau Nyota Ndogo?

List goes on and on for there's a whole lot more...

Blame the "mainstream" media for "pushing" songs that people simply just don't like
 
Wanaume wa kenya ndyo wanaongoza kwa budget. Kuna kipind wanawake wwlkuwa nanalalama kwa nini wanaume hwawatongozi
 
Habari JF...
Huwa najiuliza mbona siwaoni wakenya kwenye jukwaa la love connect....
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa Tanzania???
Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
skopio mi mbona sikuoni umefia wapi.?au ushatekwa na bashite?
 
The current population of Kenya is 48,172,112 as of Friday, April 7, 2017, based on the latest United Nations estimates.

I'm guessing your body count, of Kenyan men, must be very high to statistically substantiate your "wakenya wote" allegations...
 
Busy in building the nation ... People like Nicola Tesla, Eisten or Isack Newton didn't think muck of love affairs!
 
nimemwona huyu mdada leo kwa huu wimbo. nani ako na namba zake anipe nimsalimie?

kweli bongo kuna warembo
 
nimemwona huyu mdada leo kwa huu wimbo. nani ako na namba zake anipe nimsalimie?

kweli bongo kuna warembo

wee....alishajazwa ball kitambo ata anainaka kitumbo wazi kama fashion vile..baki tu na warembo wa kwetu kenya
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom