Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

suzie _barbie

JF-Expert Member
May 2, 2017
1,493
2,976
Habari zenu,

Mimi kama Mtanzania mwenye upendo juu ya nchi yangu huwa najiskia vibaya tukisemwa vibaya haswa na Wakenya au raia wa nchi zingine. Najua tuna changamoto zetu kama poor customer services, umeme, uchumi wetu mdogo, na ndo fimbo wanayotumia kutudharau.

Jana jioni wakati tunapata dinner, nilikua na mkenya mdada, na watu wengine kutokea Sudan kusini na Rwanda. Jamani huyo mkenya akaanza kutukandia watanzania ooohh our cities are dirty, watanzania sijui hawajielewi, mara akienda saloon wadada wana gossip( na girls gossip everywhere) Akahamia kwa wadada wa Tanzania sijui tuna fake love. Tunajifanya kupenda mtu kwa kujifanya( actually hii ni hulka ya mtu na wanawake wengi wako hivi ambao pia si Tanzanians. )

Wakatukandia weee, baadae uzalendo ukanishinda nikawambia atleast sisi wakarimu compared to nyie Kenyans. Acha anze kusema bora wao na kwamba ukarimu wetu ni wa kufake. ( Jamani kweli Watanzania tunafake ukarimu toka lini?)

Baadae, ilibidi niseme no more negative stories about my country. Kama vipi siyo lazima kuishi hapa na kuna nchi kibao duniani za kuishi.

Kiukweli, nahisi kuwachukia moyoni.
 
Itakua tu sio muongeaji ila wakenya ukienda nae Point kwa point unawaacha mbali sana..Kwanza ukabila kwao haujawahi kuisha(Kikuyu vs Jaruo Vs Somalia)..Pili kuhusu uchafu wa mji wao ndo wanaongoza tena uswazi ya Kenya ni balaa zile Slums zao ni mabati tupu.Mji mzuri ni Nairobi,Kusumu ukienda Eldoret ni majanga...Kiukweli wanachoringia ni kinge tu na thamani ya ksh mengine yote tupo sawa
 
Mimi niliwahi kuwa jirani na huyo muaustralia mmoja....

Alikuwa anachukia wabongo, akikisemesha ni kama anagomba, anatusema mara wachafu, maskini....

Hapo kaoa mchaga

Lakini pia nilikaa na wamarekani kadhaa walikua wapole tu, au labda ni vile walikua walimu....

Wakenya na mganda mmoja niliowafahamu walikua wastaarabu pia

Kwahiyo nadhani ni chuki binafsi tu ya mtu na mtu
 
Nilikua namuangalia lakini pia wale wengine wakawa wanaongeza point eehh yaani Tanzanians this , Tanzanians that. Nilikaa kimya nikawaangalia. But honestly hata sijalala vizuri. Moyo unauma watanzania wanavyotudharau

Eti hakuna umeme, sijui blabla . Ilibidi niwambie hata sisi hatupendi hii hali. Mambo mengiii , ilibidi badae niseme INATOSHA sasa
 
Labda mkenya mstaarabu ila wengi ni wajuaji. Nawachukia wakenya
 
Habari zenu,

Mimi kama Mtanzania mwenye upendo juu ya nchi yangu huwa najiskia vibaya tukisemwa vibaya haswa na Wakenya au raia wa nchi zingine. Najua tuna changamoto zetu kama poor customer services, umeme, uchumi wetu mdogo, na ndo fimbo wanayotumia kutudharau.

Jana jioni wakati tunapata dinner, nilikua na mkenya mdada, na watu wengine kutokea Sudan kusini na Rwanda. Jamani huyo mkenya akaanza kutukandia watanzania ooohh our cities are dirty, watanzania sijui hawajielewi, mara akienda saloon wadada wana gossip( na girls gossip everywhere) Akahamia kwa wadada wa Tanzania sijui tuna fake love. Tunajifanya kupenda mtu kwa kujifanya( actually hii ni hulka ya mtu na wanawake wengi wako hivi ambao pia si Tanzanians. )

Wakatukandia weee, baadae uzalendo ukanishinda nikawambia atleast sisi wakarimu compared to nyie Kenyans. Acha anze kusema bora wao na kwamba ukarimu wetu ni wa kufake. ( Jamani kweli Watanzania tunafake ukarimu toka lini?)

Baadae, ilibidi niseme no more negative stories about my country. Kama vipi siyo lazima kuishi hapa na kuna nchi kibao duniani za kuishi.

Kiukweli, nahisi kuwachukia moyoni.
yaan kenya, sudan kusino na rwanda watucheke Tanzania eti our cities are dirty? :D

halafu mkenya ndio anasema hivyo? kwamba hatupajua ama hatujafika kwao sio?

mfano kenya na sudan kusini inzi anaweza tua mdomoni pa mtu, puani au jichoni na hata asimfukuze inzi anacheza utadhani yupo kwa dustbin, yaani ni kinyaa mno, hatari na inatia huruma mno.....
 
Nilikua namuangalia lakini pia wale wengine wakawa wanaongeza point eehh yaani Tanzanians this , Tanzanians that. Nilikaa kimya nikawaangalia. But honestly hata sijalala vizuri. Moyo unauma watanzania wanavyotudharau

Eti hakuna umeme, sijui blabla . Ilibidi niwambie hata sisi hatupendi hii hali. Mambo mengiii , ilibidi badae niseme INATOSHA sasa
Wale ni wajuaji always sio mkubwa sio mdogo nakumbuka tulienda Nakumat Galile Supermarket kubwa sana ipo Nairobi..Tulijitambulisha kama WaTanzania aisee jamaa wakaanza kejeli kutwambia "How come Mtanzania anaongea English nzuri aise ni kama maajabu" kama unamoyo mdogo unaweza kurusha ngumi ndivyo walivyo wakenya majungu,dharau hata wao kwa wao no wonder maandamano hayaishi uko kwao

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi wananiambiaga hivyo. Mbona unajua English hivyo na ni Mtanzania?

Huwa nawaambia nyie si mtakula hiyo English.
 
MTU mweusi popote alipo is not a complete a human being

Isipokuwa wachache Sana hata hizo arguments zenu mnagombana husababishwa Ego self identity.

Kwamba dini Fulani ni bora
Au jinsia fulani ni bora
Au nchi fulani ni bora huu ni utoto Sana huwapata watu wenye EQ ndogo na low minded peoples
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom