Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

mi naomba kila mtu abaki kwao ili tufichiane siri....... Tusitafute kudhalilishana, ujirani unatosha.
 
  • Thanks
Reactions: smy
Wamesha jijua wao ni "VIMEO" (hasa Mademu)....
Full Black..hasa wale Majaluo...
Wamekomaa sana Miguuni...hawana ulaini kama mademu wa KIBONGO.??
Sura zao wengi ni ngumu...
Ndio maana hawana time na Malovee...
Kwa hiyo ndugu Mgodo visa kwa mtazamo wako mtu mweusi ni mbaya. Nyie ndio mnawafanya akina dada wengi waishie kununua kansa madukani kwa kisingizio cha kutafuta urembo. Pathetic!
 
Aki kenyan aki kenyan men are soo romantic n sweet problem they don't know how to keep women wanaogopa majukumu hasa ya kifamilia wanaweza kimbia nyumba waache mke na watoto
 
Aki kenyan aki kenyan men are soo romantic n sweet problem they don't know how to keep women wanaogopa majukumu hasa ya kifamilia wanaweza kimbia nyumba waache mke na watoto
Acha longolongo. Kawaida yetu wanaume wakenya huwa tunagonga afu tunaondokea, mithili ya nyundo.
 
Back
Top Bottom