Wakenya Buana!!!

Wakenya Buana!!!

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,352
Haya ndio yanayojiri kule Gold Coast, Australia Kwenye michezo ya Commonwealth 2018.
Kipruto-Kibiwott-Kirui.jpg
Nambari moja, mbili, tatu wote wakenya, kwenye mbio za Steeplechase mita 3,000.
1743727.jpg
Nambari moja, mbili wote wakenya, kwenye mbio za mita 1,500.
obiri-iaaf2.jpg
000_1406OF.jpg
Nambari moja, mbili wote wakenya, kwenye mbio za mita 5,000 kwa wanawake.
 
Kwa mfumo wetu wa Tanzania mambo yasiyo ya kisiasa kuendeshwa na wanasiasa tutasubiri sana.
 
Sisi kazi yetu ni maaandamano ya kupongeza maendeleo yaliyoletwa na mkuu na kuboresha maisha ya mtanzania huku muandamanaji hajui atagongea wapi msosi wa jioni maana majirani wamemchoka
 
Back
Top Bottom