Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
BASHITE ni first lady?wabongo mnazarau sana.
BASHITE ni first lady?wabongo mnazarau sana.
Mule muleeeeMambo tunayoweza kuyafanya bila hata kuambiwa
1. Uchawi
2. Wivu na chuki
3. Fitna na majungu kazini
4. Umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine
5.Ukuwadi na umalaya
Udaku na kiki ubuyuSijui sie tunaweza nini??
Big Brother 'cyo shindano la Kujivunia hata kidogo!Tangu Big Brother Africa isimame, Tanzania hatuna tena tunaloweza!
Sisi kwenye majungu tuko vzr kuliko wakenya,kwa hilo tunahtaji kupewa tuzo!Tuundiwe mashindano yetu ya kupika majungu
Kweli tupu!Mambo tunayoweza kuyafanya bila hata kuambiwa
1. Uchawi
2. Wivu na chuki
3. Fitna na majungu kazini
4. Umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine
5.Ukuwadi na umalaya
Haya mambo yanahitaji tu mazoezi kwa wingi na kujituma kweli kweli. Wengi wao wakitoka Australia watafika U.K kukimbia kwenye London Marathon. Kabla ya michezo ya Commonwealth walikuwa kule Ufaransa kwenye Paris Marathon. Heshima kwao, wanakimbia kutoka January hadi Desember. Alafu wana hela kupindukia.Sisi kwenye majungu tuko vzr kuliko wakenya,kwa hilo tunahtaji kupewa tuzo!
Umbea na kutekana tunachukua namba moja na chuki za kisiasa pia.Sijui sie tunaweza nini??
Sisi tunaongoza kwa kuchamna instagramu
Umbea,unafiki,ubinafsi na Ngono
Mmh!Udaku na kiki ubuyu
Siasa kwenye michezo? Kivipi fafanua zaidi basi.Umbea na kutekana tunachukua namba moja na chuki za kisiasa pia.
Tunaweza kumfollow Mangi Kimav tu!Sijui sie tunaweza nini??
Hahaha, 😀 itabidi watupe heshima sisi watu kutoka Afrika Mashariki. Hamna cha ziada jombaa.Hawa inabidi wawekewe mbio zao za peke yao, maana wanaharibu maana ya ushindani na nchi nyingine sasa.
Teh teh teh.
Vikoba+marejeshoSijui sie tunaweza nini??
Safi sana Wakenya, sisi bado tunabishana kuhusu kama serikali imeiba trilioni 1.5 au lah!...Haya ndio yanayojiri kule Gold Coast, Australia Kwenye michezo ya Commonwealth 2018.Nambari moja, mbili, tatu wote wakenya, kwenye mbio za Steeplechase mita 3,000.
Nambari moja, mbili wote wakenya, kwenye mbio za mita 1,500.![]()
Nambari moja, mbili wote wakenya, kwenye mbio za mita 5,000 kwa wanawake.![]()