pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,352
- Thread starter
- #61
Mmh!Safi sana Wakenya, sisi bado tunabishana kuhusu kama serikali imeiba trilioni 1.5 au lah!...

Mmh!Safi sana Wakenya, sisi bado tunabishana kuhusu kama serikali imeiba trilioni 1.5 au lah!...

Hata hivyo HATUWEZIMambo tunayoweza kuyafanya bila hata kuambiwa
1. Uchawi
2. Wivu na chuki
3. Fitna na majungu kazini
4. Umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine
5.Ukuwadi na umalaya
Mbona hawa wetu wameshindwa kabisa kufurukuta?Lazima zipo, kwenye hizi mbio za masafa marefu sanasana wanaokimbia wanatoka kwenye jamii za wafugaji, kama wairaki na wamaasai.
Labda hamna mazingara mema ya kujihusisha kwenye riadha. Support ya mashirika husika ni muhimu pia.Mbona hawa wetu wameshindwa kabisa kufurukuta?



Baadaye kidogo.....
