Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
ShangaaSasa mbio za nini! Kwani tunataka kuwa wezi??
ShangaaSasa mbio za nini! Kwani tunataka kuwa wezi??
HakikaLabada alijiteka u never know! Ndo maana baba Tifah kaenda kuchukua mrembo kwa Museven!

Hayo tutashika namba moja duniani.Tuundiwe mashindano yetu ya kupika majungu
Wana balozi wao Diamond anawatosha
Kwa awamu hii tusahau
Mkuu hako kasura kako na hii baridi kanashawishi sana kwa kilimo cha maharage! Umejaaliwa na mkia lakini ama sura tu?Hakika![]()
Mimi ni flat screen halafu hiyo avatar tuMkuu hako kasura kako na hii baridi kanashawishi sana kwa kilimo cha maharage! Umejaaliwa na mkia lakini ama sura tu?

Kawaida ya wanariadha wote. Kukimbia makilomita kadhaa kila siku sio mchezo.Wakenya wamkomaa mno we waone kama wanakula chuma aku sie hatuwezi
Daah basi ushanikosa flat screen hata nikijiiba ubandani kwenda kuangalia yaliyomo yamo nikikutwa na mama Bhoke ambaye yeye ni Chogo atashindwa kunipikia 'uuchi' wa moto mura!Mimi ni flat screen halafu hiyo avatar tu![]()
Umbea,unafiki,ubinafsi na NgonoSijui sie tunaweza nini??
Wakenya wamkomaa mno we waone kama wanakula chuma aku sie hatuwezi
jamani ni sababu ya mazoez magumu!Mbio zinamsaidia sana chui. Ila sio kwenye shughuli za wizi.Sasa mbio za nini! Kwani tunataka kuwa wezi??
Kwani nyie ni chui?Mbio zinamsaidia sana chui. Ila sio kwenye shughuli za wizi.
Lazima zipo, kwenye hizi mbio za masafa marefu sanasana wanaokimbia wanatoka kwenye jamii za wafugaji, kama wairaki na wamaasai.Inamaana hizo gene za kukimbia sana Tanzania hamuna? Ni ajabu.
😀😀😀 Tunawinda medali kama chui anavowinda swala.Kwani nyie ni chui?
Yeye akiwinda swala anakula😀😀😀 Tunawinda medali kama chui anavowinda swala.
Aisee. 🙂 Hahaha.Yeye akiwinda swala anakula