addallah
Member
- Jan 27, 2017
- 56
- 21
Wengine wanakelele ambazo hazina sababuHahahahaha! Hahahahaha! Mbona hutoi sababu ya hizo kelele? Au majukumu yako huyatimizi ipasavyo?
Wengine wanakelele ambazo hazina sababuHahahahaha! Hahahahaha! Mbona hutoi sababu ya hizo kelele? Au majukumu yako huyatimizi ipasavyo?
Ndiyo!Unapenda kugegeda ee
Hivi Nyani Ngabu kumbe nilikukosa eti ee
Hayo wasema ww ila nafurahi walau umepata mwanga.Ubishi uko damuni mwako naomba nikuache maana yawezekana tunasoma Biblia tofauti.
Hakuna cha mwanga wala nini, hapo ni giza tu.Hayo wasema ww ila nafurahi walau umepata mwanga.
Anachokilalamikia ni kitu gani?Hamfikii wangu isee wangu anapiga makelele mpaka ngoma za masikio zinatetemeka ni rehema za Mungu kwamba mpaka sasa ni nzima yaani ni gubu classic!
Sijakushangaa kwasababu najua ww ni feminist.Hakuna cha mwanga wala nini, hapo ni giza tu.
Ha haa anasema Dina kanizidi kete eti[emoji85]Huyo jamaa yako naona huwa ananiwaza muda wote tu!
Si ajabu huwa hata ananiota ndotoni akiwa amelala.
Ngabu Obsessive-Compulsive Disorder is real 😀
Kelele za wake zinafahamika tu hazina msingi wowote !Anachokilalamikia ni kitu gani?
ha ha ha ha utaishia kuzisoma tu kwenye magazeti husikii hata harufu yake ikikatisha
Leo nilikuwa bize na watakatifu. Wamenipa moyo na kunipongeza kwa kazi nzuri tunayoifanya...
Bonny hebu angalia page ya saba, hili tulilisahau???
Kelele, kelele, kelele....
Dah!!
Mmmh jamani ni mke au sabufa za mchinaHamfikii wangu isee wangu anapiga makelele mpaka ngoma za masikio zinatetemeka ni rehema za Mungu kwamba mpaka sasa ni nzima yaani ni gubu classic!
Mmmh mungu anakuona etNipo kwenye gari narudi home, natamani nikute wamelala wote kwa jinsi kichwa kilivyochoka.
Kwanini mkuu?Mmmh mungu anakuona et