mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Ni kweli na ndio sifa za makahaba hizo.Shukuru kama mke anaongea ndani..kama mke haongei ana mwanaume nje!.
If you know you know!.
Ni kweli na ndio sifa za makahaba hizo.Shukuru kama mke anaongea ndani..kama mke haongei ana mwanaume nje!.
If you know you know!.
Maneno 8,000 au 800,000?Wanawake huongea maneno 8000 Kwa siku kwahiyo huwa wanajitahidi kuongea ili yatimie kabla jua halijazama
Mmh pole sana. Hujaoa mchaga kweli?Tushachoka kelele zenu. Mambo yenyewe hamna basi KERO tu nyumbani. Yaan inabd mtu uvute hisia za mhudumu wa bar kumbe upo na wife. Aisee
VUVUZELAYaani kuna wa jirani akianza kuongea 12 jioni ni hadi 12 asbh......mume akiwahi balaa,anaambiwa leo malaya wake kamtimua,akichelewa ndo usiseme......jamaa yuko dilema kakondeana tu.
Haya makitu wakati wa uchumba yanafichaga makucha,ukishaweka ndani akaanza kuiita tv yako yangu,kitanda changu,nyumba yangu,chumba changu hatakama mmepanga ndo utajua ulioa mke au speaker.
Sasa ole 7850 yawe ya kivuvuzela, ndo utajutaWanawake huongea maneno 8000 Kwa siku kwahiyo huwa wanajitahidi kuongea ili yatimie kabla jua halijazama
Dah! umepatia mkuu, hapo hata akilopoka kajineno kadogo tuu unakakomalia mpaka anajiona hafai sikuingine harudii tena kusema hovyohovyome nasema kwamba ulivomzoesha ndivyo atakavyokuwa siku zotee za maisha yenu. Mwanaume mwenzangu jitahidi saaana mwanamke aisiweze kukutabiri katika maisha yake yoote.
Yaani ni bora sana akilini mwake aweke ya kwamba ww ni jitu lisiloeleweka yaani akizingua hata kitu kidoogo tuu unaamsha vagi la hatari then siku nyingine akiharibu ama kufanya kosa kuubwa unampa pole tena kiupole tuu then unakula kimya.
Ila akishakujua ww hata akiropoka na kutokwa na mimaneno ya kashfa we uko kimya tuu ataona huyu jamaa vipi huyuu mbona hanionyeshi uanaume wake huyuu. Ikiwezekana siku ya siku unamchenchia unamkata kofi moja tuu yaani ni moja tuu ila la adabu(mpaka anakwenda chini)kisha unambembeleza mpaka basii.
Yah, maana akisha kukariri imekula kwako yaani utaendeshwa haswaaDah! umepatia mkuu, hapo hata akilopoka kajineno kadogo tuu unakakomalia mpaka anajiona hafai sikuingine harudii tena kusema hovyohovyo
AissShukuru kama mke anaongea ndani..kama mke haongei ana mwanaume nje!.
If you know you know!.
True storyAiss
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Ha ha haMmh pole Sana. Hujaoa mchaga kweli?