Nouma kweli kwelime nasema kwamba ulivomzoesha ndivyo atakavyokuwa siku zotee za maisha yenu. Mwanaume mwenzangu jitahidi saaana mwanamke aisiweze kukutabiri katika maisha yake yoote.
Yaani ni bora sana akilini mwake aweke ya kwamba ww ni jitu lisiloeleweka yaani akizingua hata kitu kidoogo tuu unaamsha vagi la hatari then siku nyingine akiharibu ama kufanya kosa kuubwa unampa pole tena kiupole tuu then unakula kimya.
Ila akishakujua ww hata akiropoka na kutokwa na mimaneno ya kashfa we uko kimya tuu ataona huyu jamaa vipi huyuu mbona hanionyeshi uanaume wake huyuu. Ikiwezekana siku ya siku unamchenchia unamkata kofi moja tuu yaani ni moja tuu ila la adabu(mpaka anakwenda chini)kisha unambembeleza mpaka basii.
Ubaya unapouchagua huo ubavu hujui kama una kelele maana huficha makuchaPole sana mkuu
Ndio ubavu wako huo
Ulimchagua katika shida na raha
Pambana
Nenome nasema kwamba ulivomzoesha ndivyo atakavyokuwa siku zotee za maisha yenu. Mwanaume mwenzangu jitahidi saaana mwanamke aisiweze kukutabiri katika maisha yake yoote.
Yaani ni bora sana akilini mwake aweke ya kwamba ww ni jitu lisiloeleweka yaani akizingua hata kitu kidoogo tuu unaamsha vagi la hatari then siku nyingine akiharibu ama kufanya kosa kuubwa unampa pole tena kiupole tuu then unakula kimya.
Ila akishakujua ww hata akiropoka na kutokwa na mimaneno ya kashfa we uko kimya tuu ataona huyu jamaa vipi huyuu mbona hanionyeshi uanaume wake huyuu. Ikiwezekana siku ya siku unamchenchia unamkata kofi moja tuu yaani ni moja tuu ila la adabu(mpaka anakwenda chini)kisha unambembeleza mpaka basii.
Hii kitu ni SUMU kali sana katika mahusiano. Wanawake wenzangu tubadilike kwa ajili ya furaha zetu na mahusiano tuliyonayo.Naleta huu uzi kwa niaba ya wanaume wenzangu. Kiukwel tunapenda sana kurudi nyumbani ila tukirudi mapema kelele ni nyingi kuliko kuachwa upumzishe akili.
Kama wewe ni mwanamke punguza kelele sisi wanaume tuwahi kurudi nyumbani*!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
LA haula![emoji3] [emoji3] [emoji3] atakublock
What a dreadful observation......!!!!!Kelele sebuleni chumbani gogo na kimya kama msibani