Wake zetu punguzeni kelele majumbani

Wake zetu punguzeni kelele majumbani

Ckutukani,mimi ndo najitukana.

Narekebisha,"HAWA WATU".

Samahanini wadada wote hapa mjengoni.
Mwanaume kusema samahani ni dalili yakutokuwa makini katika maamuzi Mkuu.

Mwanaume hupaswa kufikiri kabla ya kusema ili asijitie fedheha kwa kauli Kama hizo sa Samahani.

Mwanaume haombi samahani.
Ahsante.
 
Sikweli mkuu unaweza kumkata kofi moja nayeyey akataka kurudisha nini kitatokea hapo. Utajikuta uko lokap yeye yuko muhimbili.
yes nakiubaliana nawe mkuu lakini kama uko makini kuna sehemu za kuchapa(na kuchapa ujue sio kila wakati unamgonga,hapana labda kila baada ya miaka kumi) ambazo mtu hata umpigeje ataishia kupata maumivu tuu hakuna bleed wala kifo.
Unajua unapokuwa mwanaume mtata hata baba/mama mkwe wako alokukabidhi mtoto wake anakuwa na amani coz anajua mtoto wangu yuko kwenye mikono salama. Hakuna mzazi anayependa kuona ndoa inayumba hovyohovyo ama kuvunjika na daima huangaliwa mwanaume.
Hata familia ikiyumba kiuchumi ataangaliwa mwanaume kwamba ndo kafeli kuiongoza familia.
Usione ndoa inadumu tuu,jua huyo mwanume ni mtu makini aisee!
Pia yatakiwa uwe nunda sio kila anachokiomba mkeo ni yes,sometime ni mwendo wa No tuu tena asipotarajia kabisa na ikiwezekana saa zingine unakaa kimya kabisa hakuna kutoa jibu.
 
Mwanaume kusema samahani ni dalili yakutokuwa makini katika maamuzi Mkuu.

Mwanaume hupaswa kufikiri kabla ya kusema ili asijitie fedheha kwa kauli Kama hizo sa Samahani.

Mwanaume haombi samahani.
Ahsante.
Nakubaliana nawe mkuu...Mwanaume ananyamza tuu, ikibidi saana hiyo samahani anaitoa baada ya kipindi kirefu sanaa kupita tangu tukio lilipotokea.yaani unaanza vipi kuomba samahani bila ya kutafakari kwanza.
Mwanamke anapenda mwanaume makini
 
Ndio Mkuu.
Wao pia wanajua hayo.
Ukiwa na Mama au dada hayo ndio watakayokuambia.lakini ukiwa na Mke atakuambia sio kweli huku akijua upo right
 
Baba Ndubwi! Umenena! Wanawake wanataka mwanaume mtata. Usieleweka/unpredictable kwenye maamuzi yako. Hudumia familia yako kwa matumizi muhim (chakula, mavazi, malazi na Elimu) kelele zikizidi hama kabisa nyumbani.
 
Mwanaume kusema samahani ni dalili yakutokuwa makini katika maamuzi Mkuu.

Mwanaume hupaswa kufikiri kabla ya kusema ili asijitie fedheha kwa kauli Kama hizo sa Samahani.

Mwanaume haombi samahani.
Ahsante.
Mkuu hapo nimeomba samahani kwakutumia neno"HAYA MAJITU",ambapo kuna mdau alinionya kuwa co neno zuri kulitumia kwa hawa viumbe dhaifu.

Nielewe,haijaathiri udume wangu kwa namna yoyote ile.
 
Mkuu hapo nimeomba samahani kwakutumia neno"HAYA MAJITU",ambapo kuna mdau alinionya kuwa co neno zuri kulitumia kwa hawa viumbe dhaifu.

Nielewe,haijaathiri udume wangu kwa namna yoyote ile.
Sijasema imeathiri Mkuu.
Ila nimesema wakati mwingine kabla hujafanya au kusema chochote mwanaume hupaswa kufikiria Madhara. Ili mambo Kama haya ya kuomba Msamaha kwa mambo ya kawaida yasikukute. Yaani kuonyesha umakini..

Enjoi u re Day Honorable
 
Nashukuru sana........cku njema pia.
 
Back
Top Bottom