Wake zetu punguzeni kelele majumbani

Wake zetu punguzeni kelele majumbani

Yaani kuna wa jirani akianza kuongea 12 jioni ni hadi 12 asbh......mume akiwahi balaa,anaambiwa leo malaya wake kamtimua,akichelewa ndo usiseme......jamaa yuko dilema kakondeana tu.

Haya makitu wakati wa uchumba yanafichaga makucha,ukishaweka ndani akaanza kuiita tv yako yangu,kitanda changu,nyumba yangu,chumba changu hatakama mmepanga ndo utajua ulioa mke au speaker.
Huyo jamaaa hagongi safari nini?
 
Wenye mada watatuchoka tunazigeuza vijiwe vya soga. Ila ligi haijaisha yaan hizo hela hizo mpaka niliziota jana na leo ntaziota
ha ha ha ha utaishia kuzisoma tu kwenye magazeti husikii hata harufu yake ikikatisha
 
Wenye mada watatuchoka tunazigeuza vijiwe vya soga. Ila ligi haijaisha yaan hizo hela hizo mpaka niliziota jana na leo ntaziota
ha ha ha ha umeona enhee kule kaka kiiza kalituchimba biti embu ngoja tukimbie huku tuache watu wajadili
 
Naleta huu uzi kwa niaba ya wanaume wenzangu. Kiukwel tunapenda sana kurudi nyumbani ila tukirudi mapema kelele ni nyingi kuliko kuachwa upumzishe akili.

Kama wewe ni mwanamke punguza kelele sisi wanaume tuwahi kurudi nyumbani*!

Hivi kweli?
 
Mama yako ni likitu,dada yako ni likitu,bibi yako ni likitu shangazi yako ni likitu pamoja na demu /make/mchumba wako ni likitu...ole wako unitukane
[HASHTAG]#FACT[/HASHTAG] NAKUUNGA MIKONO NA MIGUU MY DEAR
 
Nishiida, mtuanaongeaweee alafuukinyamaza kimya anaona unamdharau.
Ukiamuakulala ugeukie pembeni anakugeuza umuangalie iliakiongea maneno yakuingie vizuri, dawayao sio kuwachukia nikumwacha aongee hasirazake ziishe, ukimzuia anajiskia mnyongesana.
Saazingine unamjibu kwaupole na kuomba msamaha kidogo baas, maisha yanasonga na anajiskiaraha sana.
 
Pole mkuu...Mimi mwenyewe hapa nikifika nyumbani miss chaga kama vuvuzela
 
Mie kila nikirudi nyumbani mke wangu Faiza foxy ni makelele tuu mpaka anaboa..
Kelele zenyewe eti kisa sijamletea biscuits Lol!!
Hamfikii wangu isee wangu anapiga makelele mpaka ngoma za masikio zinatetemeka ni rehema za Mungu kwamba mpaka sasa ni nzima yaani ni gubu classic!
 
Yaani kuna wa jirani akianza kuongea 12 jioni ni hadi 12 asbh......mume akiwahi balaa,anaambiwa leo malaya wake kamtimua,akichelewa ndo usiseme......jamaa yuko dilema kakondeana tu.

Haya makitu wakati wa uchumba yanafichaga makucha,ukishaweka ndani akaanza kuiita tv yako yangu,kitanda changu,nyumba yangu,chumba changu hatakama mmepanga ndo utajua ulioa mke au speaker.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom