Wacha we!!Wanawake hawajawahi kuwa "watu". Mwanamke ni mwanamke huo "utu" ameutoa wapi?
Mwanaume pekee ndie anahesabiwa haki ya "utu" na si mwanamke.
Ni kweli ila hawanaga formula Wakati mwingineyap ni kweli jela sio sehemu mbaya ni mafunzo place na kama mwanaume hajawahi kuingia hata mahabusu ktk ulimwengu huu kuna darasa atakuwa amelivuka ,ila mazingira unatakiwa kuyajenga tangu mkiwa wachumba,yaani aamini we ndo mwanaume wakipekee ktk huu ulimwengu.
Yaani isiwe kwake tuu hata ikitokea mtu analeta chengachenga kwa mwena wako unamnyoosha ipasavyo,then unamwambia "this is for you"
Unajua always mwanamke anahitaji mwanaume anayejiamini
Mapepo wenyewe huwaangalia wanawake kama "kiumbe" na si "mtu" na ndio maana kwao ni rahisi sana kumwingia mwanamke kuliko mwanaume.Wacha we!!
Uliongea nao?Mapepo wenyewe huwaangalia wanawake kama "kiumbe" na si "mtu" na ndio maana kwao ni rahisi sana kumwingia mwanamke kuliko mwanaume.
Hivi Nyani Ngabu kumbe nilikukosa eti eeTokea umkose Nyani Ngabu naona huna furahaa kabisa jamani![emoji1]
Basi wameathirika kisaikolojiaYaani umesema kweli kabisa,ila utafiti niliofanya nimegundua wanawake ambao baba zao walikuwa wanatesa sana mama zao ni wakorofi sana
ina maana ameshakugegeda kimya kimya??[emoji17]Hivi Nyani Ngabu kumbe nilikukosa eti ee
Ukweli upo wazi kabisa nenda kwenye nyumba za ibada wanaoanguka na kupagawa na mapepo ni jinsia gani?Uliongea nao?
Kwa image ya Mungu.Ukweli upo wazi kabisa nenda kwenye nyumba za ibada wanaoanguka na kupagawa na mapepo ni jinsia gani?
BTW mwanamke ameumbwa kwa "image" ya nani?
Mwanamke si "mtu" ni "kiumbe".
Unaweza kunipa hilo andiko? Kitabu gani hicho?Kwa image ya Mungu.
Naleta huu uzi kwa niaba ya wanaume wenzangu. Kiukwel tunapenda sana kurudi nyumbani ila tukirudi mapema kelele ni nyingi kuliko kuachwa upumzishe akili.
Kama wewe ni mwanamke punguza kelele sisi wanaume tuwahi kurudi nyumbani*!
Unapenda kugegeda eeina maana ameshakugegeda kimya kimya??[emoji17]
Umeongea vyema sana mkuu! Wanawake ktk mahusiano tuko nao tofauti sana, hawa wenzetu matamanio yao ni tofauti sana.Jaribu kusoma kitabu "Men are from Mars and Women are from Venus" by John Gray (jaribu Catholic bookshops utapata). Kitabu hiki ni muhimu sana kwa wanandoa kujua jinsi tunavyo tofautiana katika kutatua mambo hasa stress. Wanawake njia moja wapo inayo wasaidia kukabiliana na changamoto mbali mbali kama stress ni maongezi. Wewe mme ukitaka kumtendea haki mkeo wewe MSIKILIZE tu bila kuwa na nia ya kutatua anachokueleza. Just listen with empathy. She has NO NEED for you to solve whatever she's sharing. Kwa kumsikiliza tu ataona una mjali na kumpenda. Na Wanawake wanapaswa kujua kuwa sisi wanaume tukiwa na changamoto zetu hatupendi kuongea badala yake tunapenda kuachwa peke yetu kutafakari. Hatupendi kelele wakati huo na si kuwa tukijitenga tunakuwa hatuna upendo kwenu. Ndiyo tulivyoumbwa na ni vizuri mkatupa nafasi ya kuwa peke yetu tukiwa na stress. Ni kweli wakati mwingine hawa wenzetu wanaweza kuongea kama radio na usiweze kuwa na nguvu za kusikiliza. Ni vyema kama unaona huwezi kusikiliza kwa muda huo ukamweleza mwenzio kwa upole kuwa umechoka kwa sasa utajaribu kumsikiliza ukipumzika. Sharing for her and you listening she feels you care and love her. Whereas for us men love is limited to physical intimacy and only buying things for her.
Mwanzo 1:26-28.Unaweza kunipa hilo andiko? Kitabu gani hicho?
Mwanamke si "mtu" ni " kiumbe".
Mwanamke katoka kwa mwanaume ( kwenye ubavu), mwanamke ni sehemu tu ya mwanaume na ndio maana ukisoma Biblia yote hakuna pahala mwanamke ameingizwa kwenye kundi la "watu".Mwanzo 1:26-28.
Ubishi uko damuni mwako naomba nikuache maana yawezekana tunasoma Biblia tofauti.Mwanamke katoka kwa mwanaume ( kwenye ubavu), mwanamke ni sehemu tu ya mwanaume na ndio maana ukisoma Biblia yote hakuna pahala mwanamke ameingizwa kwenye kundi la "watu".
Neno "watu" au "mtu" kwenye Biblia linamaanisha mwanaume na hii ni ujue tofauti ya mwanaume na mwanamke.
Mwanamke hana haki ya "utu".
Sikweli mkuu unaweza kumkata kofi moja nayeyey akataka kurudisha nini kitatokea hapo. Utajikuta uko lokap yeye yuko muhimbili.me nasema kwamba ulivomzoesha ndivyo atakavyokuwa siku zotee za maisha yenu. Mwanaume mwenzangu jitahidi saaana mwanamke aisiweze kukutabiri katika maisha yake yoote.
Yaani ni bora sana akilini mwake aweke ya kwamba ww ni jitu lisiloeleweka yaani akizingua hata kitu kidoogo tuu unaamsha vagi la hatari then siku nyingine akiharibu ama kufanya kosa kuubwa unampa pole tena kiupole tuu then unakula kimya.
Ila akishakujua ww hata akiropoka na kutokwa na mimaneno ya kashfa we uko kimya tuu ataona huyu jamaa vipi huyuu mbona hanionyeshi uanaume wake huyuu. Ikiwezekana siku ya siku unamchenchia unamkata kofi moja tuu yaani ni moja tuu ila la adabu(mpaka anakwenda chini)kisha unambembeleza mpaka basii.