Wake zetu punguzeni kelele majumbani

Wake zetu punguzeni kelele majumbani

Mama yako ni likitu,dada yako ni likitu,bibi yako ni likitu shangazi yako ni likitu pamoja na demu /make/mchumba wako ni likitu...ole wako unitukane
Likitu kwa aliyemuowa... ndo maana huyo kuna watu wanamwita dada, wengine mama, wengine shangazi etx.... hivyo akimpigia kelele mumewe anakuwa likitu kwa mumewe
 
ila wanawake mnaongea sanaa,tena saana..kitu kidogo tu akiongea hamalizi
 
me nasema kwamba ulivomzoesha ndivyo atakavyokuwa siku zotee za maisha yenu. Mwanaume mwenzangu jitahidi saaana mwanamke aisiweze kukutabiri katika maisha yake yoote.
Yaani ni bora sana akilini mwake aweke ya kwamba ww ni jitu lisiloeleweka yaani akizingua hata kitu kidoogo tuu unaamsha vagi la hatari then siku nyingine akiharibu ama kufanya kosa kuubwa unampa pole tena kiupole tuu then unakula kimya.
Ila akishakujua ww hata akiropoka na kutokwa na mimaneno ya kashfa we uko kimya tuu ataona huyu jamaa vipi huyuu mbona hanionyeshi uanaume wake huyuu. Ikiwezekana siku ya siku unamchenchia unamkata kofi moja tuu yaani ni moja tuu ila la adabu(mpaka anakwenda chini)kisha unambembeleza mpaka basii.
Vipi akienda chini alafu asirudi juu? Tushauri ikitokea hivyo tufanyeje
 
Back
Top Bottom