Marriage ni sacrifise ndugu yangu if ya want to have em all at a time be single; be freeNajua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!
Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?
Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?
Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.
Ulifanyaje hadi wakakuban?Hehehehe...unataka kuwekewa sumu
Sijasema kua imekatazawa kuoa wake wengi ila ya mfano mie nimwambie mumewangu nenda kamuoe yule,niwe mkweli tuu moyoo huo sina..Mungu hajakataza kuoa wake wengi....Ila amekataza Uzinifu Yaani ngono inayotetewa na baadhi ya watu humu!
Mke sio Wi-FiNi kweli hata mkeo mruhusu awe na michepuko maana hata huna vigezo vyote vya kuwa mwanaume aliyekamilika. Acha roho mbaya share mkeo na wanaume wenzako.
Kama analijua ni vizuri, nae akihitaji kuwa na mchepuko mruhusu tuu maana hata nae anakuvumilia tu maana haujakamilika kwa vigezo vyooooote.Una uhakika atakuwa halijui hili?
Hujaniita? Umeleta mada ya nini humu? Au hao ulowaita wako wapi?
Heheeee!!!!
Ulifanyaje hadi wakakuban?
Nikajiuliza mbona hutukanagiii ahahahahahHata sijui mm nliamka asbh wameniban jioni nkaona nmefunguliwa
Sasa makubaliano yenu ukatuletea huku!!!!!!Hayo ni makubalieni yetu mimi na yeye wala usiumize kichwa...
Mi naweza kuwa mjinga lakini povu lako linanipa matumaini kuwa message sent......Kumwita mtu mjinga lazima kuna kitu umejifunza hapo.Nilidhan unaongea vitu vya maana kumbe ujinga...... Kama mkeo hakufaid ni wewe, wenzio tunafaidi hadi tunaona kama tulichelewa kuolewa.
Aya sawaMi naweza kuwa mjinga lakini povu lako linanipa matumaini kuwa message sent......Kumwita mtu mjinga lazima kuna kitu umejifunza hapo.