Andiko hili linasadifu mateso anayopitia mkeo humo ndani ya nyumba yako,kama Mungu na ujuzi wake woote alishindwa kumuumba binaadamu mkamilifu basi fahamu hakuna kitakachokamilika katika maisha yako ukawa na vyote, Shukuru Mungu kama una mke mwenye akili,upendo,msikivu na mvumilivu kwa maana sura sio roho,chura pia sio moyoNajua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!
Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?
Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?
Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.
Tit for tat.. Teh teh..
Michepuko Inatokea wapi? Mkiwa nje ya ndoa ruksa kulala na waume za watu.mkiolewa mnabania wenzenu.....Ungechagua weee mpk ukapata mwenye sifa zote unazozipenda then ndo ungeoa mana mpk hapa inaonyesha hujatosheka bado na ulie nae una macho ya kuangalia wengne... Utamaliza bucha babu weeeee...![]()
Swala la kutosheka tutaongopeana tu! Ingekuwa hivyo hata nyie msingechepuka..........Ungechagua weee mpk ukapata mwenye sifa zote unazozipenda then ndo ungeoa mana mpk hapa inaonyesha hujatosheka bado na ulie nae una macho ya kuangalia wengne... Utamaliza bucha babu weeeee...![]()
Bac endelea naona km unataka kulia ila STI's zaja uko ndani kwako...Swala la kutosheka tutaongopeana tu! Ingekuwa hivyo hata nyie msingechepuka..........
