Wake zetu acheni Roho mbaya!

Wake zetu acheni Roho mbaya!

Nawaambia tu wale mnaotokwa mapovu hapa,kabla sijaandka hii mada nilitegemea matusi zaidi ya haya mlioandika hapa! Ila Ukweli siku zote humuweka mtu Huru......
Ukweli za zinaa ndo utakuweka huru?
Hivi siku hizi watu hamuheshimu hata maandiko,mnayaquote kwa ajili ya tamaa zenu!!!!!

Duh!!!
 
Ukweli za zinaa ndo utakuweka huru?
Hivi siku hizi watu hamuheshimu hata maandiko,mnayaquote kwa ajili ya tamaa zenu!!!!!

Duh!!!
Hii sijui lugha gani hapa,sijaelewa chochote....
 
Na nyie mkifulia mtushauri kuchepuka.
 
Naona Chura chura,chura ni nini?..unaoa mwanamke mwenye chura ili iweje?..
 
Back
Top Bottom