Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Kwa mapenzi hayo itakua 3some inahusika

Nimeshuhudia hili. inakuwa hivi,chumba cha kulala ni kimoja. siku ya zamu mke anaingia na mashuka yake chumbani anatandika na atalala kule kwa siku tatu, zikiisha anarudi kulala na watoto mwenzake naye anaingia kuendelea na zamu. mwenye zamu ndiye anaachiwa pesa ya mboga na atahudumia kwa siku hizo tatu.
 
Kwahiyo mpaka watoto mama kaenda kupata huko na ndiyo mwanzo wa watoto kuanza kufuatilia anafuataga mama yao huko , mie maisha hayo hapana labda aniroge kwanza lakini mpaka aniroge duu kitaeleweka tu
 
Kwahiyo mpaka watoto mama kaenda kupata huko na ndiyo mwanzo wa watoto kuanza kufuatilia anafuataga mama yao huko , mie maisha hayo hapana labda aniroge kwanza lakini mpaka aniroge duu kitaeleweka tu

Ndio hivyo, wameshazoe hivyo na wale wanawake wanaishi kwa kupendana sana, wanapika na kula chungu kimoja. Hakuna kurogwa cha maana unatimiziwa mahitaji yako na unaishi kwa amani
 
Mmh. Kama ni ukweli hongera zao.

Mie nisingeweza sababu nawaza kwa mbali sasa kama mume anashughuluka na mke mdogo sasa huyo mwingine anakuwa anakoroma au ndio anaamka na kuangalia yanayoendelea.
 
Ninachokiona hapo, ni kwamba hao wanawake wameamua kuishi kwa style hiyo ili tu siku ziende, huenda tu kwa sababu ya dhiki zao, na hapo walipo wanauhakika wa kuendesha maisha yao lakini sio kwa mapenzi ya dhati, nasema hivyo kwa sababu katika hali ya kawaida kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu kama hicho, hata kwa mwanaume, naye atakuwa na shida kwenye ubongo wake.
Sema wewe Kaka. Lazima wana sababu inayowafanya wakubaliane na maisha wanayoyaishi nje ya mapenzi.

Sababu kiuhalisia hakuna mwanadamu wa hivyo yaani washirikiane hadi kitanda kwa roho gani hizo walizonazo.

Mleta uzi akafukue ukweli wa mambo na sio kumwaga sifa kumbe ni kinyume kabisa.
 
ndo mambo ya mathna,wathulatha warubaa' . khatar,sio kwa zama hizi za wivu
Umeonaeee wivu unatakiwa uwepo bana. Na hiyo huwa inasababisha ikitokea mwanaume tu ana mwanamke mbali kabisa huko na ikigundulika tu roho inaweza kupaa sasa mambo ya kulala kitanda kimoja si hatari hiyo.

Ila huenda kuna kitu amewafanyia kwa kweli sababu sio hali ya kawaida wivu ukosekane aiseee.
 
Umeonaeee. Huwa ikitokea mwanaume tu ana mwanamke mbali kabisa huko na ikigundulika tu roho inaweza kupaa sasa mambo ya kulala kitanda kimoja si hatari hiyo.

Ila huenda kuna kitu amewafanyia kwa kweli sababu sio hali ya kawaida wivu ukosekane aiseee.
Usikute kaenda kuwatuliza kwa mganga
 
Yaani hapo kijana anafurahiaje?
Akigeuka huku raha, akipunduka huku raha.

Mziki wake upo watakapokuwa wajawazito na wajifungue wote kwa pamoja.
Atawakimbia, ila ajipange kiuchumi.
 
Nilipoenda Tabora kumtembelea mdogo wangu, nilistaajabu kushuhudia ninayoyasimulia leo.

Bwana mdogo kaanza karibuni maisha ya kujitegemea, kapanga chumba kimoja na sebule maeneo ya chemuchemu.

Pale pia kuna jamaa mmoja mpangaji mwenziye kapanga chumba na sebule lakini akiishi na wanawake wawili mitala kwa kutumia chumba kimoja.

Wake zake hao wanaishi kwa upendo mkubwa huku wakiitana dada. Kazi na hadi kula wanakula pamoja!

Ndugu zangu wataalamu wa saikolojia, jambo hili sijawahi kuliona popote Tz.
Maana kama ni ukewenza, ni lazima mwanaume awajengee nyumba zao tofauti, ama kama ni kupanga atawapangia nyumba tifauti.

Ni maarifa gani yanayosaidia mwanamme kuwamudu, kuweza kuishi nao kwa ukitumia chumba kimoja na wanawake wakaelewana kama kulwa na doto, kiasi cha kuwa ni mfano wa kuigwa?
Hakuna maarifa hapo mkuu
Ni kukaza kwa vyuma kumefanya hali iwe hivyo!!
Ngojaaa viachie uone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom