Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Hiyo kawaida tu pia kuna jamaa namfahamu kaoa wake wawili na anakaa nao pamoja, ingawa tofauti kidogo .
Yeye anakaa chumba chake wake zake wanakaa kila mmoja na chumba chake wanapokezana kumfata mume chumbani.kule ktk vyumba vya wake wanataka na watoto.
Pia mwingine yupo namjua kaoa watatu sasa anakomaje wanapokezana mmoja kumfata kazini miss wa kutoka ili asiende kwa hawara wanasema bora aongeze wewe wanne
Safi sana, ujua kwanini wanamfuata huko ndani itakuwa hali jojo, mizigo 3!?
 
Huyo atakuwa mwenzangu, nina mpango wa kuoa wawili kwa mpigo, nyumba na chumba kimoja.
 
Nmewai kuiona hii ukonga/mazizin kijana wa kigogo alikua anaishi na wake wawili chumba kimoja tena maisha ya nyumba za kupanga lakin full aman kuheshimiana sisi wa nje ndo tukawa tunajiuliza wanaishije lakin wao ata habar hawana mambo yanaenda tu sijui sisi wangine tunashidwa wap
 
Chumba kimoja watu watatu? Usishangae wakizaliwa watoto bado watu wakabanana humo humo. Umasikini huu!
Umazikini gani hizi akili zakushikiwa wako watu hata mke hawana lkn umasikini walionao hadi kulala vibarazani
 
Sasa unategemea hao wasiishi vizur kwa nini, wanashare dudu 1 at the same time(3some) usikute wananyonyana k, mate,maziwa na n.k wakati m1 akipelekewa moto plus mwanaume anavyowalea
Lazima wapendane na kuheshimiana
 
Umazikini gani hizi akili zakushikiwa wako watu hata mke hawana lkn umasikini walionao hadi kulala vibarazani
Tena hayo maisha si umasikini tu, na ujinga. Maisha gani hayo?
 
Hahahahha
Ninachokiona hapo, ni kwamba hao wanawake wameamua kuishi kwa style hiyo ili tu siku ziende, huenda tu kwa sababu ya dhiki zao, na hapo walipo wanauhakika wa kuendesha maisha yao lakini sio kwa mapenzi ya dhati, nasema hivyo kwa sababu katika hali ya kawaida kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu kama hicho, hata kwa mwanaume, naye atakuwa na shida kwenye ubongo wake.
 
Hata mi siwezi kwa kweli uwiiii mnaweza mkawekeana sumu ivi ivi
 
Ukiulizwa kwa nini mnafanya hivyo ooh nampenda sana sijui ana dyudyu tamu kwakweli atapambana na dyudyu yake unafki wa hivyo siuwezi kabisa
Siwezi kabisa huo ujinga kama kanichoka si basi hakuna kaburi la msimbe
 
Back
Top Bottom