Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Ndio hivyo, wameshazoe hivyo na wale wanawake wanaishi kwa kupendana sana, wanapika na kula chungu kimoja. Hakuna kurogwa cha maana unatimiziwa mahitaji yako na unaishi kwa amani
Hongera yao,
Lakini kwa akili yakawaida si zani kuna something hapo kati sio bure
 
Hahahaaa. Sasa kama hela ya chumba tu hana ukiwaza kwa sauti mahitaji mengine ya kibinadamu sidhani kama anaweza kuyatimiza.
May wake zake ndo wameamua waishi pamoja mana kuna watu mioyo ya uvumilivu kama ya punda
 
Nilipoenda Tabora kumtembelea mdogo wangu, nilistaajabu kushuhudia ninayoyasimulia leo.

Bwana mdogo kaanza karibuni maisha ya kujitegemea, kapanga chumba kimoja na sebule maeneo ya chemuchemu.

Pale pia kuna jamaa mmoja mpangaji mwenziye kapanga chumba na sebule lakini akiishi na wanawake wawili mitala kwa kutumia chumba kimoja.

Wake zake hao wanaishi kwa upendo mkubwa huku wakiitana dada. Kazi na hadi kula wanakula pamoja!

Ndugu zangu wataalamu wa saikolojia, jambo hili sijawahi kuliona popote Tz.
Maana kama ni ukewenza, ni lazima mwanaume awajengee nyumba zao tofauti, ama kama ni kupanga atawapangia nyumba tifauti.

Ni maarifa gani yanayosaidia mwanamme kuwamudu, kuweza kuishi nao kwa ukitumia chumba kimoja na wanawake wakaelewana kama kulwa na doto, kiasi cha kuwa ni mfano wa kuigwa?
Dahhh huu uzi unanikumbusha nilipokua chuo, nilikuwa na kamchezo nafanya threesome sex, yaani mimi na wadada wawili, tulifanya kuanzia mwaka wa kwanza semister ya pili hadi tunamaliza mwaka wa 3, kiukweli natamani enzi zijirudie..
 
Kuna mwalim anafundisha makarema secondary... pale Rombo (MKUU) naye Ana wake wawili na wanalala chumba kimoja na wanaishi kwa amani
 
Itakuwa kawafunga kimazingara,, SABABU hata dini hairuhusu MWANAUME kuoa mke wa pili kama huna pa kumuweka,,,
 
Back
Top Bottom