Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Kwanini hukumuuliza muhusika?
Mkuu ni vigumu sana kuhoji mtu ambaye life style yake ni ya utata.
Kwa mfano mtu anaanza safari hadi anamaliza kwa kutembea kinyumenyume!
Ukimhoji hatakupatia jibu mujarabu, maana wengine hufanya matendo bila kuwa na tafsiri yake sahihi. Bora unambie ningeliwafotoa tukaja geuzageuza picha zao jamvini.
 
Nmewai kuiona hii ukonga/mazizin kijana wa kigogo alikua anaishi na wake wawili chumba kimoja tena maisha ya nyumba za kupanga lakin full aman kuheshimiana sisi wa nje ndo tukawa tunajiuliza wanaishije lakin wao ata habar hawana mambo yanaenda tu sijui sisi wangine tunashidwa wap
Mkuu nadhani mume anakuwa na akili za ziada kuwa-control!
Maana huyo mmoja tu ni pasua kichwa akisikia bila hata ya kuona kuwa una-cheat sehemu!
 
Nilipoenda Tabora kumtembelea mdogo wangu, nilistaajabu kushuhudia ninayoyasimulia leo.

Bwana mdogo kaanza karibuni maisha ya kujitegemea, kapanga chumba kimoja na sebule maeneo ya chemuchemu.

Pale pia kuna jamaa mmoja mpangaji mwenziye kapanga chumba na sebule lakini akiishi na wanawake wawili mitala kwa kutumia chumba kimoja.

Wake zake hao wanaishi kwa upendo mkubwa huku wakiitana dada. Kazi na hadi kula wanakula pamoja!

Ndugu zangu wataalamu wa saikolojia, jambo hili sijawahi kuliona popote Tz.
Maana kama ni ukewenza, ni lazima mwanaume awajengee nyumba zao tofauti, ama kama ni kupanga atawapangia nyumba tifauti.

Ni maarifa gani yanayosaidia mwanamme kuwamudu, kuweza kuishi nao kwa ukitumia chumba kimoja na wanawake wakaelewana kama kulwa na doto, kiasi cha kuwa ni mfano wa kuigwa?
Duhh kwahiyo usiku mke ambaye hana zamu (match) anaenda kulala sebleni au inakuwaje kuwaje hapo?
 
Moja anapigwa pipe mwingine anasubiria
 
Nilipoenda Tabora kumtembelea mdogo wangu, nilistaajabu kushuhudia ninayoyasimulia leo.

Bwana mdogo kaanza karibuni maisha ya kujitegemea, kapanga chumba kimoja na sebule maeneo ya chemuchemu.

Pale pia kuna jamaa mmoja mpangaji mwenziye kapanga chumba na sebule lakini akiishi na wanawake wawili mitala kwa kutumia chumba kimoja.

Wake zake hao wanaishi kwa upendo mkubwa huku wakiitana dada. Kazi na hadi kula wanakula pamoja!

Ndugu zangu wataalamu wa saikolojia, jambo hili sijawahi kuliona popote Tz.
Maana kama ni ukewenza, ni lazima mwanaume awajengee nyumba zao tofauti, ama kama ni kupanga atawapangia nyumba tifauti.

Ni maarifa gani yanayosaidia mwanamme kuwamudu, kuweza kuishi nao kwa ukitumia chumba kimoja na wanawake wakaelewana kama kulwa na doto, kiasi cha kuwa ni mfano wa kuigwa?
kawazidi ujanja wake zake kawachomoa fuzi
 
Back
Top Bottom