Hapa kuna tatizo,
1.Mama arudishiwe pesa zake (ambazo pia tunaka kujua alizipataje........)
2.Walionunua nyumba wapewe hati zao haraka iwezekanavyo, ili kieleweke
3.Mama Mkapa unaweza pia uka-negotiate na wakazi hao 12 ukawanunua.....NOTE: utueleze hayo mahela umeyapataje though
4. M-baya wetu mkubwa ni huyu ndg Zongo aliye-facilitate uuzwaji wa eneo hilo + nyumba 12...........huyu inabidi amwagiwe TINDIKALI na achomwe MOTO
5. Je kuna mkono wa SIMU 2000 Limited?
....otherwise, Mwikimbi......keep it up the good work!!
Watu Muache Kupiga Kelele Hizo Nyumba Zimenunuliwa Kihalali Na Hakuna Hata Chembe Moja Ya Rushwa Au Kudanganyana Na Mkataba Wa Uuzaji Nyumba Hizo Upo Wazi Sema Wahusika Wakuu Ndio Wanao .
Kwa Sasa Hizo Nyumba Pamoja Na Zingine Nyingi Ni Mali Ya Familia Ya Maro Sio Maro Mimi Lakini Maro Huyo
Lakini mkuu huko Mbeya, hao kina mkapa wanashirikiana na mstaafu wa idara, kwa hiyo careful mkuu wangu!
Nilikuwa ninamtahadharisha tu mkuu kama yuko Mbeya kweli, maana huyo mkulu ni noma!
Lakini ngoja kwanza. Inapokuja kwenye Wahindi, hapo utu unanishinda hata nijitahidi vipi. I mean, wahindi wamezidi kwa kutoa rushwa, hili nalijua!
Hao watu wa aina ya akina Zongo wako wengi huko wizara ya ardhi, wanagawa kiwanja kimoja kwa watu zaidi ya mmoja, na wanauza upya viwanja vyenye right of occupancy tayari na kutoa hati nyingine, hivyo kusababisha migogoro ya ardhi. Wengine wanajigawia viwanja kibao kwa majina mbalimbali halafu wanaviuza upya. Kuna ufisadi sana hiyo wizara, na inaelekea John Pombe Maghufuli ingemshinda tu, maana "pombe" yake si kali tena, mgema alishasifiwa sasa katujazia maji tu! Huyo Anna Mkapa alitumia mtandao wa kifisadi ambao uko tayari. Wakati tunamlaumu na kumshutumu kwa kufanya ufisadi huu, tujumuishe pia hao walioko kwenye huo mtandao wa kifisadi, na wote walioulea na wanaoulea hadi sasa.
Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.
shy mbona unatuzingua tena? Yaani mwizi akikuibia mbuzi halafu akaenda kumchinja halafu akarudi na kuuzia nyama yake wewe utanunua tu kwa vile mwizi kageuka mchoma nyama ya mbuzi?
Nimesikia mengi sana kuhusu huyu mama kumiliki real estate nchini; nasikia kuna mitaa Dar ukigusa tu unaambiwa imeshanyakuliwa... lakini hadi hivi sasa sijaona karatasi hata moja linalomuunganisha huyu mama na dili lolote la real estate. Kati ya mali hizo zote kuna yoyote yenye jina lake, kampuni, au familia yake ya karibu...?
Bado sijaelewa hiyo habari. Unaongelea mamlaka mbili tofauti yaani Wizara ya ujenzi na Halmashauri ya Manispaa, kwamba Wizara imeuza nyumba husika kwa watumishi walioishi humo kwa muda mrefu (thats right). Pia Halmashauri ya jiji la Mbeya limeuza nyumba hizo kwa Mama Anna Mkapa.
Mimi naona hapa kuna gap of information. Halmashauri haiwezi kuuza nyumba bila kukubaliwa na Kamati ya Fedha na Uongozi na Baraza la madiwani. Kamishna wa Ardhi (Wizara ya Ardhi) hawezi kutoa hati ya umiliki wa ardhi ya nyumba iliyokuwa ya serikali ya mtaa (Halmashauri) bila Mihtasari ya kamati ya fedha na ule wa Baraza la Madiwani.
Afisa ardhi wa jiji hana uwezo wa kuuza mali (ardhi) ya Halmashauri wala Kamishna wa ardhi hawezi kumkubalia.
Mauziano ya ardhi ni lazima yahusishe Mwanasheria mwenye uwezo wa kiapo, hivyo isingekuwa rahisi kwa afisa ardhi kutekeleza hayo anayotuhumiwa eti kwa kuwa yupo karibu na mama Anna Mkapa.
Mkuu naomba ufuatilie vizuri hizo source, kwani kuna watu wengine siku hizi wanapenda kusukuma jambo wanalotaka kwa kupitia nguvu ya tuhuma za mtu mkubwa. Inawezekana hao jamaa wanahitaji hati za kumiliki ardhi na wameambiwa masharti ambayo wanahisi ni magumu (just my assumption).
Kama ulivyo eleza, kwamba nyumba hizo zipo katika eneo moja (inawezekana kikawa ni kiwanja kimoja) hivyo haiwezekani kutolewa hati kwa watu tofauti mpaka iffanyike plot sub-division, ambayo inamlolongo wake mkubwa tu. au watu hao wakubaliane kisheria kumiliki eneo hilo kwa hisa ie asilimia 8 kwa kila mmoja.
Kama kweli pameuzwa kwa Anna Mkapa, wakati tayari palisha uzwa kwa watu waanaoishi hapo basi waliuza ni Wizara ya ujenzi siyo jiji. Siwatetei jiji ila sababu nilizoeleza hapo mwanzoni zinaondoa uwezekano wa Halmashauri ya jiji kutenda kosa hilo.
Wakuu wenye data watuorodheshee 'tujisenti' twa hawa partners ANBEN maana inaonekana list ni ndefu. Nianze na zinazotajwa sana
1. TanPower/Kiwira
2. Bank M
3. Ikulu ndogo Lushoto
4. Hotel SA
5. ...
Mkuu Ikulu ndogo Lushoto hapana, ila ana miliki nyumba, nadhani na hoteli huko kwa kina Shetani.
Si alisema yeye si tajiri? Mbona hamuelewi? Kwani mtu kuwa na tubilioni tuchache ni utajiri?
Hata hivyo kama BMW angetaja mali zake baada ya kutoka pale Magogoni..tungeweza kulinganisha za za alipoingia Benzi 1, Isuzu trooper, Shamba, nk.
Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.
6.Lamada apartments (ilala- amenyang'anya toka posta).
7.Imalaseko zote
Uvumi: baada ya moto moto ya JK ameiuza Lamada apartments kwa Kishimba "mmiliki" wa imalaseko,
Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.
Wakuu kuna mdau mmoja alinidokeza kuwa kuna nyumba zimejengwa kama ka kijiji fulani Sam nujoma road karibu na njiapanda ya chuo kikuu (ubungo) mkono wa kushoto ukitokea mwenge kuwa ni za mama ana. Alijenga kwa madhumuni ya kituo cha watoto lakini sikuona kitu kinaendelea hadi nilipoondoka huko labda sasa kuna kitu chocho kinaendelea pale?