Mugishagwe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2006
- 300
- 58
Mkewe ndugu Karume Shady yuko hapa Berlin .Kuna maonyeshoi makubwa sana Utalii yanaitwa ITB na Tanzania wameleta makampuni yapatayo 70.Katika msafara huo wa Zanzibar yuko Mama Shady ambaye sasa kwa status yake Ubalozi hawatulii wana hangaika naye kwa kila hali .Hizi ni gharama na bado sijajua kafuata nini .Kwa mbali napata fununu eti amekuja kuongeza nguvu sijui nguvu kazi kwenye maonyeshao haya .Nimelazimika kuuliza kama kuna mtu anajua labda huyu Mama ni mwajiriwa wa Wizara ya Utalii bara ama visiwani .Vinginevyo nimebaki nashangaa kilicho mleta au labda ana kampuni ya utalii kaja mwenyewe kugawa Brochures nk .
Maoni nadhani huu ni mzigo namatumizi mabaya ya madaraka na pesa ya mlipa kodi .Hawezi kusema kama kushuhudia ufunguzi wa maonyesho kwa kuwa naamini hata kutambuliwa na wenyeji ambao ni Ujerumani hawajui.Ubalozi sasa una kazi ngumu na yeye kaja na watu wake .Mnaojua mambo hebu karibuni mseme kama kuna la maana katika hili atakuwa kaja kufanya kwa hali kama hii .

Last edited by a moderator: