Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Sidhani kama alihusika kwa hilo, na kuagiza pombe au kunywa pombe hakumaanishi kuwa u mkristo au la.

Ninawafahamu wakiristo wengi wasio agiza kunywa wala kuuza pombe na nawafaham ''waislam'' wengi wenye kuagiza, kuuza na kunywa pombe.

ohh yeah, alihusika sana na zile Stella.

ufisadi wa huyu mama umekaa kikristo kristo (kama mafisadi walioshitakiwa na serikali ya Kikwete).
 
kama ni kweli basi hivyo ndivyo ilivyo hebu tuhabarishe zaidi, maana inaonyesha una data ambazo hutaki kuweka wazi au huna una hakika nazo, unachokonowa kidogo kidooogo.
 
kama ni kweli basi hivyo ndivyo ilivyo hebu tuhabarishe zaidi, maana inaonyesha una data ambazo hutaki kuweka wazi au huna una hakika nazo, unachokonowa kidogo kidooogo.

Huu ni mwanzo tu .... uchunguzi wa kifo cha mwandishi Stan Katabalo ukitoka yatajulikana mengi (kama serikali ya Kikwete itaruhusu public kuyapata haya).
 
Huyu ndiye aliyeanzisha kampuni ya kuagiza Stella Artois akiwa Ikulu. Pia aliagiza Tanesco wasirudishe umeme uliokuwa unakatikakatika mpaka auze majenereta aliyokuwa ameagiza kutoka Uarabuni. Fisadi namba 2.
 
Na Mkapa nae akamsikiliza, kipindi chake chote alikuwa anangoja majenereta yamalizike!
 
Loliondo wamefanya ufisadi upi? nini? Bot? Sheraton? naona unataja majina tu, lakini huweki wazi, au huna uhakika na unachokiongea?

Uchunguzi wako wa kujua ufisadi wa miaka ya nyuma naona umeishia tu kwenye hekalu la Lushoto. Kachambue zaidi utagundua mengi.
 
Back
Top Bottom