KERO Wakazi wa Goba, Mitaa ya Nasary & Mwanzo tunapata maji mara 3 au 4 kwa mwaka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi.

Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi 50,000 kwa doza moja la lita 1,000, sasa hapo tuna uchumi gani wa kununua maji kwa bei hiyo?
 
Kuna shida ya mvua Tanzania nzima kwa sasa. Mvua zimechelewa msimu huu. Tusubiri msimu ujao na Kma unauvumilivu basi subiri dhahabu iuzwe ishughulikie mradi ya maji Goba shule.😁😁
 
3 au 4 kwa mwaka? Inasikitisha sana kiukweli.
Hili jiji nililopo huku kwa wenzetu,hakuna mto wowote ni jangwa ,ni bahari tu kidogo ila maji muda wote na safi.
Tanzania tuna mito,bahari,maziwa, ardhi inayosapoti visima lakini ndio hali yetu hii...No accountability kila mtu alie katika nafasi ya kufanya hili huko serikalini anajali mambo yake.

CCM ni watu wa ovyo sana
 
Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi.

Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi 50,000 kwa doza moja la lita 1,000, sasa hapo tuna uchumi gani wa kununua maji kwa bei hiyo?

Goba Mitaa ya Nasary na Mwanzo ipo Goba ipi?.
Karibia na eneo gan maarufu?

Nakaa Goba (karibia na Goba center) . kila wiki maji yanatoka mara 2. Alhamisi na jumatatu.

Kwa miaka 5. Ni mwaka jana tu . Tena zile wiki 3 za shida ya maji ndio maji hayakutoka.

Kuna magroup ya dawasa. Mwenyekiti wako wa mtaa atakuwa anayajua. Tumen taarifa kule kuulizia nn shida.
Maana haiwezekan wawawekee miundo mbinu ya maji alaf kwa mwaka yatoke mara 4. It doesnt make sense. Lazima kuna shida au pengne hawajui kuwa hamyapat maji wanayoyaelekeza kwenu.
 
Hilo si jambo la kujivunia, kwanini mara mbili kwa wiki? Maji yanatakiwa kutoka 24/7, mnajadili nini kwenye hayo magroup?
 
Goba Mitaa ya Nasary na Mwanzo ipo Goba ipi?.
Karibia na eneo gan maarufu?

Nakaa Goba (karibia na Goba center) . kila wiki maji yanatoka mara 2. Alhamisi na jumatatu.

Kwa miaka 5. Ni mwaka jana tu . Tena zile wiki 3 za shida ya maji ndio maji hayakutoka.

Kuna magroup ya dawasa. Mwenyekiti wako wa mtaa atakuwa anayajua. Tumen taarifa kule kuulizia nn shida.
Maana haiwezekan wawawekee miundo mbinu ya maji alaf kwa mwaka yatoke mara 4. It doesnt make sense. Lazima kuna shida au pengne hawajui kuwa hamyapat maji wanayoyaelekeza kwenu.
shida ni kwamba kwanini maji hayatoki?
 
CCM oyeee!

Mama anaupiga mwingi bana!

Kabla hajaja mlikuwa hampati kabisa maji na sasa mnapata mara 3 au 4 kwa mwaka!

Hakuna mwingine kama mama.
Ndugu yangu nyani kuna watu wanaogea maji ya dimbwi tangu wameingia hapo bongo lakini wanaimba mapambio kama vile hawana akili nzuri maisha duniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lakini ndio wakwanza kusifia ujinga ujinga mbezi yoote kwa sasa haina maji , wakiulizwa hawana majibu na ndio eneo linaloongoza kwa kuuza maji kwenye mji huo, mambo ni magumu sana kwa wadanganika walio wengi ila ndio hivyo wengi wao akili kisoda na hawana namna wanakubali tu kuingiziwa kila kitu kweye makalio, ndio maana chawa wamekua wengi kuliko wasomi.
 
Back
Top Bottom