Kikojozi
JF-Expert Member
- Mar 24, 2009
- 331
- 2
There is no way you can exclude leaders or responsible authorities in this case. Just a simple example, mimi nimefagia nyumbani kwangu, nimekusanya takataka vizuri, nakwenda kuzitupa wapi? Ni jukumu la mamlaka husika kuandaa/kutenga madampo ya kutupa hizo taka. Ni mara ngapi kumekuwa na malalamiko kwamba hakuna madampo ya kutupa takataka? Kulikuwa na kesi moja kule tabata, dampo kwenye makazi, hapo unamlaumu mwanachi wa kawaida kwa lipi? Huwezi kuwaondoa viongozi katika hizi lawama, hasa suala la mafuriko DSM, its crystal clear kwamba mifumo ya maji ni mibovu. Who's responsibilities is that!!!!
Naomba nikuulize maswali mawili tu ili nielimike kidogo.
1. Kwa ufahamu wangu, city/manispaa wanatakiwa wawe na magari/malori yanayozunguka jiji zima kukusanya taka kila nyumba/jengo. Kwa wale wakazi 95% waliojenga kiholela kwenye mabonde na vichochoroni, hili zoezi litafanyikaje?
2. Kama kiongozi mhusika wa eneo lako hajatenga hiyo sehemu/dampo la kutupia taka, unamchukulia hatua gani mpaka hiyo sehemu inapatikana?