Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.
Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.
Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!
Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe
Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Ndio maana Kigogo 2014 alisema wiki iliyopita kuwa moto ni Kali sana jikoni wapishi wanavumila tu kumbe ni kweli kigogo wa tweeter ni noma .
Ulitaka wakifute chama?
Mh!!..Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!
Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe
Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Nimesoma leo kuwa Lowasa anaumwa, kweli?Wewe ulishatupwa kwenye dust bin tangu 2015 huna chako
Nimesoma leo kuwa Lowasa anaumwa, kweli?
Ndugu yangu Salary Slip, naona kama unaanza kushindwa kwenda na wakati...Chama cha Kijani kipi unachokiongelea hapa? Chama Cha Mafisadi au Chama Cha Magufuli? Ngoja nikuelimishe kidogo; Chama cha Mafisadi kinaumwa na kimetumwa kwenda kwenye matibabu. Chama cha Magufuli kwa sasa ndicho kimeshika hatamu kikilindwa na Vyombo vya dola na kile kikosi kisichojulikana wala kuonekana.Wakati wowote kuanzia sasa sitashangaa kusikia Chama cha Kijani Kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu
Nimekuelewa mkuu, ila katika hili la kujitwalia madaraka ya ufalmewa,kuna hatari halitawaacha salama katika chama chao.Ndugu yangu Salary Slip, naona kama unaanza kushindwa kwenda na wakati...Chama cha Kijani kipi unachokiongelea hapa? Chama cha Mafisadi au Chama cha Magufuli? Ngoja nikuelimishe kidogo; Chama cha Mafisadi kinaumwa na kimetumwa kwenda kwenye matibabu. Chama cha Magufuli kwa sasa ndicho kimeshika hatamu kikilindwa na Vyombo vya dola na kile kikosi kisichojulikana wala kuonekana.
Chama cha Magufuli hakina vikao na maamuzi yote hufanywa na mwenye chama. Kwa sasa hiki chama kimejikia katika kuondoa visiki vyote ambavyo viko njiani katika mbio zake za kutekeleza matakwa ya Kiongozi wake Mkuu. Walianza kwa kukata visiki vilivyo kando kando ya barababa na sasa kimeanza kung'oa visiki vilivyo katikati ya njia kuu. Kuna mpango wa kutawazwa na kuvikwa taji kwa Kiongozi Mkuu.
Kikwete alichafua kina Salum mpaka wakanuka kama mavi ili tu aingia Ikulu! Mbona mnasahau mapema! Hakuna kipya na maisha yataendelea kama kawaida.Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.
Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.
Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Pole sana maana uko gizani huoni mbele wala nyuma na ukija kushituka teyari itakuwa ni too late.Kikwete alichafua kina Salum mpaka wakanuka kama mavi ili tu aingia Ikulu! Mbona mnasahau mapema! Hakuna kipya na maisha yataendelea kama kawaida.
Ndio kipo .Kama sikosei kuna kikao cha kamati kuu dodoma 17/07/2019