Wakati wowote kuanzia sasa sitashangaa kusikia Chama cha Kijani Kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu

Ikifa CCM ndio ukombozi utakuwa umekuja. Lakini hakiwezi kung'oka bila kumwaga damu. We have to fight against them. This is the CCM regime, bila kuwafumua kwa risasi hawatoki.
 
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Wanaccm hawaachiani maji mezani - Kikwete
 
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!

Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe

Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Yuko smart Sana...nashangaa ameshindwa vipi kushitukia hilo mapema!...paragrafu ya pili.
 
Hicho kikao anaitisha nani?
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
 
Anayemtuma na kumdhamini kwa mamilioni ni nduli na dikteta wa Ikulu. Je, wana ubavu wa kumuadabisha na kumpa onyo kali!?

Sidhani, kwani aliwatusi wanawashwawashwa hakuna hata mmoja aliyetoa hata MGUNO.

Watamjadili musiba maana kazidi sasa! Na atajulikana anaemtuma!
 
Anayemtuma na kumdhamini kwa mamilioni ni nduli na dikteta wa Ikulu. Je, wana ubavu wa kumuadabisha na kumpa onyo kali!?

Sidhani, kwani aliwatusi wanawashwawashwa hakuna hata mmoja aliyetoa hata MGUNO.
Hawawezi ila wanataka kufikisha ujumbe kua wanachokozwa na zwazwa musiba!
 
Huu ni umbea

Weka hoja tuijadili dogo
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Vile vile msije kushangaa kusikia walalamikaji wakigeuziwa kibao kwa kututomia vikao halali vya chama kushughulikia malalamik yao na badala yake wametoa malalamiko yao nje ya utaratibu wa chama hivyo nao wao kuishia kupewa onyo.

Hata hivyo,niwaambie tu kuwa kikao hico,endapo kitafanyika,itakuwa ni hadaa tu ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
 
Wewe bwege kweli nani mtu wa kuangalia hiyo channel?

Hujui hata kwa simu yako unapata habari?
Wewe ni mtu wa wapi wewe ?
Chadema mnachekesha mbona hicho kikao kimeelezwa channel ten. .Mnajifanya huwa hamuangalii TV za CCM Kumbe umeangalia channel Ten ukapata taarifa huku unajifanya una utabiri nyeti.Kikao kipo kitafanyika
 
Mkuu kwa mwenye akili amekuelewa vizuri sana.
Ndugu yangu Salary Slip, naona kama unaanza kushindwa kwenda na wakati...Chama cha Kijani kipi unachokiongelea hapa? Chama Cha Mafisadi au Chama Cha Magufuli? Ngoja nikuelimishe kidogo; Chama cha Mafisadi kinaumwa na kimetumwa kwenda kwenye matibabu. Chama cha Magufuli kwa sasa ndicho kimeshika hatamu kikilindwa na Vyombo vya dola na kile kikosi kisichojulikana wala kuonekana.

Chama cha Magufuli hakina vikao na maamuzi yote hufanywa na mwenye chama. Kwa sasa hiki chama kimejikia katika kuondoa visiki vyote ambavyo viko njiani katika mbio zake za kutekeleza matakwa ya Kiongozi wake Mkuu. Walianza kwa kukata visiki vilivyo kando kando ya barababa na sasa kimeanza kung'oa visiki vilivyo katikati ya njia kuu. Kuna mpango wa kutawazwa na kuvikwa taji kwa Kiongozi Mkuu.
 
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.
Wishful thinking!
Cc ni kila mwisho w mwezi,kwa sasa hakuna dharura yoyote,mambo ni safi kabisa
 
hiki sio kipindi kizuri cha mnyukano huu kwa Tanzania. Wakikosea kidogo tu ni rahisi kuingia kwenye uhaini na kughairishwa kwa uchaguzi ujao. Very easy mtu anaweza kuingiza nchi kwenye hali ya hatari ambapo baadhi ya shughuli automatically sinasimama mpaka hali irudi sawa. Shida ni lini itarudi kuwa sawa? Ni mtanange wenye sura nyingi msiushadadie sana....
 
Back
Top Bottom