Wakati wowote kuanzia sasa sitashangaa kusikia Chama cha Kijani Kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu

Kati ya mwakembe na naibu wake julian, mmoja wa atakuwa chambo.

Mabadiliko yataanzia kwao.
 
We ulikuwa wapi? Hujalalamika musiba (mkristo kafiri) anawatukana waislamu makamba na kinana, au umeacha mitazamo yako ya udini?
Unaonekana juha tu, mwenyewe unaona umeandika cha maana kweli.

Punguani wahed.
 
Zamani nilikua nadhani magu ulinzi wote ni adui muarabu mzungu na upinzani ila sasa naona adui wake kumbe yuko karibu nae zaidi kuliko nilivyodhani kama ndo ivo naanza kuona musiba kwa upinzani kama anafanya mazoezi mechi iko chamani ujani kijani na jeshi bado alitoshi kabs aongeze watu toka upinzani ikiwezekana mbowe awe makamu wa rais na lissu waziri mkuu inaweza labda saidia kdg asiishie kwenye uwaziri peke yake
 
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!

Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe

Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Hii ngoma si njema!! Unless amshugulikie dogo fasta vinginevyo kigoda ki akwenda kubetuliwa..

Huwezi kumdharau Kinana na Makamba Senior then ukaibakisha CCM salama... huwesi aisee!!
 
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!

Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe

Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Haya ni maoni yako

Mali Mali ndio wapi?? Jamaa ni mshamba
 
Back
Top Bottom