Wakati wowote kuanzia sasa sitashangaa kusikia Chama cha Kijani Kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu

Chadema eti wanarelax situation hiyo bila shaka wanaweza ambulia mavuno na kuyapeleka CC moja kwa moja
 
Kuna wakati mkwere aliwahi kusema kuwa ndani ya ccm wakiwa kwenye kikao mtu akitoka kwenda haja akirudi kinywaji alicho kiwacha mezani inabidi akimwage
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
 
Kwa maana hiyo nawe unaunga mkono yatendwayo na Musiba kwa wazee wetu walio litumikia taifa kwa moyo na sasa wanapumzika lkn Musiba anawanyima usingizi kwa mipasho yake?
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!

Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe

Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
 
Jamaa nadhani labda yupo huko huko jikoni kashindwa kuvumilia uanayo tendeka sasa kaamua kuyamwaga ukumbini
Ndio maana Kigogo 2014 alisema wiki iliyopita kuwa moto ni Kali sana jikoni wapishi wanavumila tu kumbe ni kweli kigogo wa tweeter ni noma .
 
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!

Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe

Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Mh!!..
 
Kuna dogo yupo idara nyeti sana serikalini aliniambia kuwa ccm imegawanyika vipande vipande na hakuna mwenye uwezo wa kuiunfanisha,ni mwaka umepita sasa yanaonekana kwa macho
 
Chadema mnachekesha mbona hicho kikao kimeelezwa channel ten. .Mnajifanya huwa hamuangalii TV za CCM Kumbe umeangalia channel Ten ukapata taarifa huku unajifanya una utabiri nyeti.Kikao kipo kitafanyika
 
Wakati wowote kuanzia sasa sitashangaa kusikia Chama cha Kijani Kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu
Ndugu yangu Salary Slip, naona kama unaanza kushindwa kwenda na wakati...Chama cha Kijani kipi unachokiongelea hapa? Chama Cha Mafisadi au Chama Cha Magufuli? Ngoja nikuelimishe kidogo; Chama cha Mafisadi kinaumwa na kimetumwa kwenda kwenye matibabu. Chama cha Magufuli kwa sasa ndicho kimeshika hatamu kikilindwa na Vyombo vya dola na kile kikosi kisichojulikana wala kuonekana.

Chama cha Magufuli hakina vikao na maamuzi yote hufanywa na mwenye chama. Kwa sasa hiki chama kimejikia katika kuondoa visiki vyote ambavyo viko njiani katika mbio zake za kutekeleza matakwa ya Kiongozi wake Mkuu. Walianza kwa kukata visiki vilivyo kando kando ya barababa na sasa kimeanza kung'oa visiki vilivyo katikati ya njia kuu. Kuna mpango wa kutawazwa na kuvikwa taji kwa Kiongozi Mkuu.
 
Ndugu yangu Salary Slip, naona kama unaanza kushindwa kwenda na wakati...Chama cha Kijani kipi unachokiongelea hapa? Chama cha Mafisadi au Chama cha Magufuli? Ngoja nikuelimishe kidogo; Chama cha Mafisadi kinaumwa na kimetumwa kwenda kwenye matibabu. Chama cha Magufuli kwa sasa ndicho kimeshika hatamu kikilindwa na Vyombo vya dola na kile kikosi kisichojulikana wala kuonekana.

Chama cha Magufuli hakina vikao na maamuzi yote hufanywa na mwenye chama. Kwa sasa hiki chama kimejikia katika kuondoa visiki vyote ambavyo viko njiani katika mbio zake za kutekeleza matakwa ya Kiongozi wake Mkuu. Walianza kwa kukata visiki vilivyo kando kando ya barababa na sasa kimeanza kung'oa visiki vilivyo katikati ya njia kuu. Kuna mpango wa kutawazwa na kuvikwa taji kwa Kiongozi Mkuu.
Nimekuelewa mkuu, ila katika hili la kujitwalia madaraka ya ufalmewa,kuna hatari halitawaacha salama katika chama chao.
 
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Kikwete alichafua kina Salum mpaka wakanuka kama mavi ili tu aingia Ikulu! Mbona mnasahau mapema! Hakuna kipya na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom