ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Amen RAHuu uzi ungekuwa unasema Abood kafilisika na magari yake yote kayapiga mnada uzi ungekuwa page ya 71
Lakini kaogeza gari imekuwa kama imewauma flani watu wanasema mitaani hamna hela huyu kapata wapi hizi hela za kununua hizo gari!
Vijana tunafanye kazi hizi hela wanazo miliki hawa wazee kama kina Abood, Mengi, Bahkresa tuzirudishe mikononi mwetu sisi vijana damu changa, tusikubali wao ndiyo wawe juu yetu, tuwanyangane kwa kufanya kazi na sisi tumiliki hizo mali