Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

watu wana park ma bus wanauza visima yy anaongeza au alizan December ya mwakahuu ni kama December za miaka ya kikwete mwambie asbr kuhesabu moja mpaka kumi
 
Ha ha ha, kwa hiyo watu waache kulialia wanunue Yu-tong sio mkuu??
 
Hakuna cha uelewa mdogo....mfanye kazi kwani kumaliza chuo mwaka jana ndo inakufanya husiingie mtaani nakuwa mchuuziiii?,tatizo la vijana wengi mkiwa chuo mnakuwa mabishoo watu wa matanuzi hasa kwa mademu zenu so mkimaliza chuo boom limekata mtaani hajira hakuna....mnaogopa tembeza mabeseni.....kupata chaneli lazima ujivuruge na kila mishe.....
Wengi wanasubiri serikali itoe ajira ,sasa kila mwaka wahitimu ni maelfu sijui serikali itatoa wapi hizo ajira. Mbona wengine tulianza kupigisha simu enzi zile dk 300 na Leo tumepiga hatua.
Asante kwa ujumbe mzuri wa jina wajitume waache kusubiri mitaji ya million 10
 
Hakuna cha uelewa mdogo....mfanye kazi kwani kumaliza chuo mwaka jana ndo inakufanya husiingie mtaani nakuwa mchuuziiii?,tatizo la vijana wengi mkiwa chuo mnakuwa mabishoo watu wa matanuzi hasa kwa mademu zenu so mkimaliza chuo boom limekata mtaani hajira hakuna....mnaogopa tembeza mabeseni.....kupata chaneli lazima ujivuruge na kila mishe.....
Wewe ni mshamba wa kupitiliza! Uwezo wako wa kuanalyze mambo in very poor.Unkuja kusifiasifia tu wanaume wenzako hapa ni tabia za wanaopumuliwa. Utawezajekumlinganisha Abood, MTU mbaye amerithi Mali toka kwa mababu zake wa enzi na enzi na mtoto wa mkulima?. Halafu etii fanyeni kazi,siku zote tunakula kwa baba ako?mshamba mkubwa hebu tembea mbele ushaniaribia Siku yangu
 
Hakuna cha uelewa mdogo....mfanye kazi kwani kumaliza chuo mwaka jana ndo inakufanya husiingie mtaani nakuwa mchuuziiii?,tatizo la vijana wengi mkiwa chuo mnakuwa mabishoo watu wa matanuzi hasa kwa mademu zenu so mkimaliza chuo boom limekata mtaani hajira hakuna....mnaogopa tembeza mabeseni.....kupata chaneli lazima ujivuruge na kila mishe.....

Abood hana uhusiano na maisha halisi ya mtaani vijana wanajituma wasoma lkn ajira hakuna
 
Nilifikiri upo kwenye Yard yake kumbe upo stand!

Haya safari njema
izo gari zimeagizwa 12 tuu na pia na kuna shabiby tena ziliagizwa 12 nane zishatua bado nne ziko njiani

mwenzako amekuambia ziko 12 ujue anajua mengi

51c796da9f02383ddacd506277dd6981.jpg
 
View attachment 448948
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Wajinga wajinga ndio wanapiga kelele humu JF eti maisha magumu, mara ooh, biashara zimegoma, maisha magumu kwao sababu walizoea kuiba na kulipwa mishahara bila kufanya kazi. Walizoea kuingiza bidhaa bila kulipa kodi, walizoea pesa za dili. Sasa hivi ujanja ujanja hakuna tena.

Kama unafanya kazi kwa bidii na kufuata sheria za nchi, maisha yatakuwa mazuri tu.
 
Mkuu kwani lazima uajiliwe.....ww huogopi kuwa mtumwa wa mwajiri wako?

Ongelea maisha halisi ya mtanzania acha habari na think big cjui rich daddy na habar za how to became rich maaana tz watu wanatariniwa kuajiliwa na ndo haina ya elimu wanayopata sasa unaposema wajiajil wakat hawajajengwa hivyo wot do u meam?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom