Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

Huu uzi ungekuwa unasema Abood kafilisika na magari yake yote kayapiga mnada uzi ungekuwa page ya 71

Lakini kaogeza gari imekuwa kama imewauma flani watu wanasema mitaani hamna hela huyu kapata wapi hizi hela za kununua hizo gari!

Vijana tunafanye kazi hizi hela wanazo miliki hawa wazee kama kina Abood, Mengi, Bahkresa tuzirudishe mikononi mwetu sisi vijana damu changa, tusikubali wao ndiyo wawe juu yetu, tuwanyangane kwa kufanya kazi na sisi tumiliki hizo mali

Sikutaka kuchangia ila umenishawishi.

Kwanini umetumia wingi? Tu...sisi...anza wewe wengine waache. Ingekuwa vizuri huu ushauri wako wa kuwapiku kina mengi ungeenda kwa mifano ya idadi ya magari au cash uliyonayo wewe mwenye mpango wa kuwapiku kina bakhresa.

Mtoa mada angetoa taarifa ingetosha tu mbona. Mambo ya kuanza kuwalalamikia wengine kwamba waache kulalamika haiwezekani malalamiko yaishe na haitatokea duniani tuwe sawa. Hata mtei na abood kiuwezo sio sawa japo wote wanamiliki mabasi
 
Abood kaanza kazi wengine humu hawajazaliwa na ana makampnunu zaidi ya 10.Huyo siyo mwenzetu.Lori zenyewe ni zaidi ya 100.
 
Huu uzi ungekuwa unasema Abood kafilisika na magari yake yote kayapiga mnada uzi ungekuwa page ya 71

Lakini kaogeza gari imekuwa kama imewauma flani watu wanasema mitaani hamna hela huyu kapata wapi hizi hela za kununua hizo gari!

Vijana tunafanye kazi hizi hela wanazo miliki hawa wazee kama kina Abood, Mengi, Bahkresa tuzirudishe mikononi mwetu sisi vijana damu changa, tusikubali wao ndiyo wawe juu yetu, tuwanyangane kwa kufanya kazi na sisi tumiliki hizo mali

Umevuta ya wapi ? Naona neti inayumba.
 
Hii ni serikali ya maskini. Maskini wamewezeshwaje? Maskini hawana kitu kbs nyie mko kusifia serikali tu!!!!/
 
View attachment 448948
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Tumia akili ww, kwahyo unamlinganisha abood na nani, tambua abood ni mojawapo ya matajir wakubwa tz hata africa.
Hv ni akili kumlinganisha mtu wa namna hii na mtafutaji wa kawaida.

By the way, hakuna asiyefanya kazi, bali mambo mengine ni fursa na bahati..
 
Watu wamekopa na kufanya biashara kwa kutumia ardhi ya walala hoi, harafu eti sijui nini...! Kweli mchawi wa mtu mweusi ni mtu mweusi.

Hakuna mtu yoyote alie kwenye Siasa uku mfanya biashara hasie kuwa Mwizi sema muda hujafika ipo siku utaprove.

Wewe tazama tu huoni watu wanalia karibu Tanzania nzima na ardhi? Unafikiri utajiri wa tajiri yoyote Afrika unatoka na nini kama sio ardhi? Je hizo ardhi wanapata kwa haki? Kama wanapata kwa haki vipi hawa walala hoi wanao lia kwa dhuruma ya ardhi?

Tuwe wakweli binafsi najuta kuzaliwa Afrika. Tunapelekwa kama Mang'ombe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom