Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

We nawe si una vi Isuzu journey vyako ndio maana unaona watu ambao hawana hawafanyi kazi...
 
Huu uzi ungekuwa unasema Abood kafilisika na magari yake yote kayapiga mnada uzi ungekuwa page ya 71

Lakini kaogeza gari imekuwa kama imewauma flani watu wanasema mitaani hamna hela huyu kapata wapi hizi hela za kununua hizo gari!

Vijana tunafanye kazi hizi hela wanazo miliki hawa wazee kama kina Abood, Mengi, Bahkresa tuzirudishe mikononi mwetu sisi vijana damu changa, tusikubali wao ndiyo wawe juu yetu, tuwanyangane kwa kufanya kazi na sisi tumiliki hizo mali
Mkuu kama ulikuwa kwenye akili yangu. Uzi huu ungekuwa Abood kauza mabasi kwa kuwa biashara mbovu ungekuwa na pages 150 sasa hivi tena wangeuweka jukwaa la siasa.

Biashara mbaya Abood kaingiza vitendea kazi vipya.
 
Hawa kina hood na abood utajiri wao wakurithishwa toka kizazi hadi kizazi,tangu nakuwa hawa kina hood walikuwa na biashara ya mabasi.Sio watu wakushindana nao hawa.
Unaweza kurithi kama huna akili ya kuendesha hio biashara inakufa.
 
Abood kashakula sana tokea awamu zilizopita kwaiyo watu wa kariba na hirimu yake hawawezi kukumbwa na ombwe la ugumu wa maisha unaolalamimiwa na walio wengi
Kwani ugumu wa biashara ya mabasi unaletwa na nini hasa? Sio upungufu wa abiria? Upungufu ambao unasemekana umeletwa na maisha magumu awamu hii. Au Abood anaumba abiria wake?
 
Kwani ugumu wa biashara ya mabasi unaletwa na nini hasa? Sio upungufu wa abiria? Upungufu ambao unasemekana umeletwa na maisha magumu awamu hii. Au Abood anaumba abiria wake?
Kusafiri hakuepukiki mzee, shughuli za kijamii nyingi zitakulazimu tu usafiri hata kwa kukopa
 
gar tamu sana hyoo .full wireless,,usb charge hatar sana..izo aina mpya ya yuotong
Bora usifie hata kama utaona wivu utakonda bure,hata kama ukiambiwa youtong moja itolewe taili zote uinunulie taili mpya ili iwe yako huwezi,sasa wivu wanini si bora usifie kama
 
"Umesema Vijana wakiwa chuo wanakuwa mabishoo". Kwahiyo ili uwe na mafanikio, hatua ya ubishoo hupaswi kuipitia kabisa?
 
Wanamtafuta saa 8 kwanza ... Baadae watakuwa na 'kata funua' wakati wenzao wanafikiria opposite kabisa. Ukiwaita hapa watakwambia eti wenye mabasi wanafirisika kisa abiria hawana pesa, sasa unajiuliza na haya mapya ya kazi gani?
 
Tatizo bavicha wanafuta sana vumbi la viatu vya Lowasa hadi akili zao zimedumaa
Uchama utakuja kukuua siku moja. Mezuia ajira za watu halafu mnajifanya kujikosha humu JF. Siyo lazima waajiriwe na serikali ila kufuta ule utaratibu wa mwanzo mnaonesha kwa jinsi gani mna roho mbaya sana. Miaka 55+ ya uhuru lkn hali ya nchi inazid kuwa mbaya sana. Meifanya hii nchi kuwa maskini sana. WW UMEAGIZA MAGARI MANGAPI? Tangia ulipopewa kofia na Tshirt basi akili yako imekuwa km maziwa mgando
#CHOMAKADISSM#
 
Wanamtafuta saa 8 kwanza ... Baadae watakuwa na 'kata funua' wakati wenzao wanafikiria opposite kabisa. Ukiwaita hapa watakwambia eti wenye mabasi wanafirisika kisa abiria hawana pesa, sasa unajiuliza na haya mapya ya kazi gani?
Uchama utakuja kukua ww. Kila kitu ww ni siasa tu tena za majitaka. Nyie meagiza mangapi? Mewafanya vijana wengi kuishi ktk maisha magumu. Siyo lazima kuajiriwa na serikali lkn usitazame kundule la mwenzako wakati lako lina kidonda na linatoka damu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom