Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

mleta Uzi umenichekesha kweli ww unajua utajiri wake kaupata je? hebu leta full story ya maisha yake toka sifuri mpaka kumiliki hayo mabasi ili iwe inspiration kwa wengine lakini si hivo ulivo uleta Uzi wako ukiwa unaning'inia .
 
Hakuna cha uelewa mdogo....mfanye kazi kwani kumaliza chuo mwaka jana ndo inakufanya husiingie mtaani nakuwa mchuuziiii?,tatizo la vijana wengi mkiwa chuo mnakuwa mabishoo watu wa matanuzi hasa kwa mademu zenu so mkimaliza chuo boom limekata mtaani hajira hakuna....mnaogopa tembeza mabeseni.....kupata chaneli lazima ujivuruge na kila mishe.....
Message sent
 
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Wakati ameagiza Yutong 20 wewe umeagiza nini,

Kama yeye kaagiza yuko vizuri usilinganishe maisha ya mtu mmoja na maisha ya mtu mwingine,

Wakati yeye anaagiza kuna watu hawajala siku mbili na hawajui ni lini watakula
 
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Naona unajipinga. Soma sentensi zako ya pili na ya mwisho.
 
Unamfananisha Abood na kijana alomaliza chuo mwaka jana,kweli?
Huyu jamaa vipi? Aboud yuko tangu miaka ya 90 huko ndo nilipo mjua na sijui kaanza lini..... na Dar moro alikuwa kaikamata tangu enzi ...... basi 20 kitu gani kwa hili gwiji la kusafirisha abiria.... hata angeleata 200 nisingeshangaa....
 
Huu uzi ungekuwa unasema Abood kafilisika na magari yake yote kayapiga mnada uzi ungekuwa page ya 71

Lakini kaogeza gari imekuwa kama imewauma flani watu wanasema mitaani hamna hela huyu kapata wapi hizi hela za kununua hizo gari!

Vijana tunafanye kazi hizi hela wanazo miliki hawa wazee kama kina Abood, Mengi, Bahkresa tuzirudishe mikononi mwetu sisi vijana damu changa, tusikubali wao ndiyo wawe juu yetu, tuwanyangane kwa kufanya kazi na sisi tumiliki hizo mali

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom