Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Move yako na Dialo ndio imeanza ama tusubiri ingine?
Kuna thread ulishajibu kuhusu kifo cha Kamanda Chacha Wangwe.
Ndg. Kimbuka ndugu wa Chacha ni binadamu kama unamtumia marehemu ili kujijenga ama kupata pesa inawauma sana.
Why usitafute kick zingine?
Ok weka hiyo move CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.
Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.
Mbona mnakimbilia chaka jamaniiiii. Kusema ni kutumika? vitu viwili tofautiii
Kama hivyo sivyo atakuja akanushe au aweke sawa ukiona kimya maana ndiyo hivyo.Kwenye fasihi hapo ndiyo kunanini wewe ..........fu
Mbona sioni hicho alichosema kifasihi.
Kama anaweza afunguke tu,
Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.
Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.
ha ha haa!
Kasi hii ya siasa za vijana sidhani kama zitaisaidia zitaikwamua nchi yetu toka kwenye umasikini uliopindukia. Sipati picha ingekuwaje endapo Mwl Nyerere na vijana wenzake enzi zile wangeshupalia siasa za namna hii.
Mmepewa mamlaka hata ya kutoa laana kwa wenzenu? noma sana
Akisema leo inamsaidia nini sasa? Ilikuwaje akashindwa kusema mbele ya mahakama na kuepuka kifungo? Vijana njaa zitawaua,mko radhi kuwauza hata mama zenu simply tu mmeahidiwa vipesa kidogo tena vya kurushiwa kwa M-pesa,mnatia aibu sana.Mbona unatokwa na povu sana??? Kwanini hamtaki aseme? mnaficha nini?
Usichezee Jina la Mungu. Mungu haunganiki na mnafiki na wauaji. Kuendelea kutumia jina lake katika uovu ni kutafuta laana zaidi maana ulikwishalaanika wewe na vizazi vyako mpaka kizazi cha 4.
Siyo uchambuzi wa fasihi bali mantiki pia inakubaliNimeamini kuwa watanzania wengi tuko nyuma kwenye "fasihi" mnataka nini tena Deus Mallya aseme? mbona mwenye akili tayari anajua ebu angalia nukta zifuatazo:
-Kwamba hatojibu wa vile anapokea matusi, kejeli na kutishiwa kuvamiwa,
-Kwamba ameambiwa akae kimya,
-Kwamba hata wakimtisha na hata akifa ukweli utabaki kuwa ukweli na utaishi hata kwa vizazi vijavyo,
-Kwamba wanaomtisha na kumwambia akae kimya ni wafuasi wa chadema,
-Kwamba tujiulize kwa nini wanamtisha na wanamwambia akae kimya?
-Kwamba wanamwambia akae kimya ili asiseme nini?
-Kwamba kwa nini chadema wana hofu asiseme?
Tukijiuliza na tukichambua nukta hizi tutapata jibu, na kwa mwenye akili jibu liko wazi na kuwa Deus Mallya kwa maana nyingine tayari ameshasema.
Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.
Moja ya tabia za kiume kwa mwanamume ni kuwa na msimamo thabiti, msimamo imara, akiamua kitu, ameamua na anasimama nacho mpaka mwisho wake, na ikibidi kufa, anakufa na msimamo wake huku akiitwa shujaa!. Sasa wewe kama ni mwanamume na unazo tabia za kiume, ulipoamua kukaa kimya na kunyamaza, ni lazima uendelee kukaa kimya na kunyamaza mpaka mwisho!.
Hili tishio la oh mara ntasema, au wakati wa kusema umefika!, hizi ni tabia za kike!, mwanamume akiamua kusema, hasemi ntasema bali husema!. Mwanamke ndio huamua kutishia aseme au asiseme, na hata akitong..zwa anajijua kabisa amekubali, atajifanya hataki ili uonyeshe kuhangaika kumpata!.
Hii ya wewe kutishia kuwa utasema, its as if ulilipwa kiasi fulani hapo mwanzo ili unyamaze, na ukanyamaza, sasa umeishiwa, unataka kuendelea kulipwa siku zote kwa kukaa kimya!, yaani ukimwa wako ndio ajira yako, ili uendelee kulipwa, unatishia kusema ili watishike na kukulipa tena ili usiseme, ukae kimya!.
Nakushauri, kama umeamua kweli kusema, amua moja na useme sasa!, hukupaswa kusema utasema, ulipaswa useme tuu tujue moja, kitendo cha kutishia nyau kuwa utasema, kinaweza kupelekea wale waliokulipa siku zote kukaa kimya, wakakuona you are not an asset, you are a liability which needs disposal kabla haijawa too risky or threat, hivyo ukanyamazishwa jumla!.
Ni ushauri tuu.
Asante.
Pasco.
Lazima tujue muuaji wa wangwe
Ushauri mdogo tu,wewe mtoto wa kike,hebu tafuta kazi ya kufanya ikupatie pesa za kukuwezesha kuendesha maisha yako.Hakuna mwanaume atakeukuchukulia serious kwa kutangatanga kwako kwenye social networks.Ni ushauri tu ukitaka unaacha :A S wink:!Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!
Le Mutuz
Mkuu Deus Mallya, kwanza asante kwa kuamua kutaka kusema!. Kwenye jamii yetu, tuna watu wa jinsia mbili, ya kiume na ya kike!. Watu wa jinsia hizo wanakuwa na tabia na mienendo inayoendana na tabia zao. Yaani mwanaume anakuwa na tabia za kiume, na mwanamke anakuwa na tabia za kike!. Ila pia hutokea baadhi ya wanaume, kuzaliwa wanaume na maumbile ya kiume lakini wakawa na tabia za kike!, vivyo hivyo kuna wanawake wenye maumbile ya kike na tabia za kiume!.
Moja ya tabia za kiume kwa mwanamume ni kuwa na msimamo thabiti, msimamo imara, akiamua kitu, ameamua na anasimama nacho mpaka mwisho wake, na ikibidi kufa, anakufa na msimamo wake huku akiitwa shujaa!. Sasa wewe kama ni mwanamume na unazo tabia za kiume, ulipoamua kukaa kimya na kunyamaza, ni lazima uendelee kukaa kimya na kunyamaza mpaka mwisho!.
Hili tishio la oh mara ntasema, au wakati wa kusema umefika!, hizi ni tabia za kike!, mwanamume akiamua kusema, hasemi ntasema bali husema!. Mwanamke ndio huamua kutishia aseme au asiseme, na hata akitong..zwa anajijua kabisa amekubali, atajifanya hataki ili uonyeshe kuhangaika kumpata!.
Hii ya wewe kutishia kuwa utasema, its as if ulilipwa kiasi fulani hapo mwanzo ili unyamaze, na ukanyamaza, sasa umeishiwa, unataka kuendelea kulipwa siku zote kwa kukaa kimya!, yaani ukimwa wako ndio ajira yako, ili uendelee kulipwa, unatishia kusema ili watishike na kukulipa tena ili usiseme, ukae kimya!.
Nakushauri, kama umeamua kweli kusema, amua moja na useme sasa!, hukupaswa kusema utasema, ulipaswa useme tuu tujue moja, kitendo cha kutishia nyau kuwa utasema, kinaweza kupelekea wale waliokulipa siku zote kukaa kimya, wakakuona you are not an asset, you are a liability which needs disposal kabla haijawa too risky or threat, hivyo ukanyamazishwa jumla!.
Ni ushauri tuu.
Asante.
Pasco.
Leo baada ya huu uzi kuna watu nimewajua aisee ha!ha! kumbe wewe ndo unatumia hii ID.

Nimeamini kuwa watanzania wengi tuko nyuma kwenye "fasihi" mnataka nini tena Deus Mallya aseme? mbona mwenye akili tayari anajua ebu angalia nukta zifuatazo: