- Wacheni aseme mnaogopa nini na hamuhusiki na kumuuaaa Wangwe mpaka mnatia huruma, kule UKAWA Lissu kaulizwa na Rais sio wewe uliyelilia Rais asiwe na mamlaka ya kuvunja bunge sasa unalilia nini hana jibu here you are muwacheni aseme sisi wananchi tutaamua kama ana hoja au hana mambo ya UKAWA kupigana ngumi kwenye vikao vyenu msituletee kwenye Taifa!!
Le Mutuz
We jamaa fitna unazimaster aisee...

hahahaha mh angalia kijana si mtu mzuri huyuDEUS MALYA Upo?? Wale vijana uliowatapeli pesa ZAO mwaka 2013- wanakutafuta,wanalalamika umewablock fb,na simu umebadili,au unasubiri siku wakikufikisha mikononi mwa sheria uanze kulalama kuwa unasakamwa sababu ya SIASA?? ONDOA KWANZA BORITI ULIYONAYO KABLA HUJAJA KUJIANIKA HUKU JF KIJANA .
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.
Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.
- Wacheni aseme mnaogopa nini na hamuhusiki na kumuuaaa Wangwe mpaka mnatia huruma, kule UKAWA Lissu kaulizwa na Rais sio wewe uliyelilia Rais asiwe na mamlaka ya kuvunja bunge sasa unalilia nini hana jibu here you are muwacheni aseme sisi wananchi tutaamua kama ana hoja au hana mambo ya UKAWA kupigana ngumi kwenye vikao vyenu msituletee kwenye Taifa!!
Le Mutuz
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.
Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.
Kumbe mwafahamiana!DEUS MALYA Upo?? Wale vijana uliowatapeli pesa ZAO mwaka 2013- wanakutafuta,wanalalamika umewablock fb,na simu umebadili,au unasubiri siku wakikufikisha mikononi mwa sheria uanze kulalama kuwa unasakamwa sababu ya SIASA?? ONDOA KWANZA BORITI ULIYONAYO KABLA HUJAJA KUJIANIKA HUKU JF KIJANA .
Kumbe mwafahamiana!
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.
Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.
nyie ndiyo mtatia huruma, kutumia hadi miili ya marehemu waliolala kwa amani ili kujaribu kujinusuru kisiasa. Mmeshaukalia msumari - hamtoki safari hii.FUSO
Mbona mnatia huruma, huyo jamaa si ndio chama kilitoa tamko la kutokumtambua?" sasa iweje leo mnahofu na atakayoyazungumza mtu msiyemtambua?
mnatia shaka