Wakati wa mimi kusema umefika

Mi nilijua utasema unaendelea kutisha watu....hakika hii nchi imeoza mtu anadiliki kusema anajua mauaji lakini serikali imekaa kimya shitttttttt
 
Badala ya kupoteza muda wangu kwenye hizi page zote.., please chochote kikisemwa naomba mtu ani Mention..

Haya mambo ya badala ya kusema mtu unakuja kutwambia kwamba unataka Kusema alafu usemi inapelekea kupata mashaka na so called msemaji

Kwakweli hata mimi naomba tu mtu ani mention.....huu ni upuuzi maana tunaishia kusoma mialiko ya insta party humu:angry::angry::angry:
 
Huko ni kuhamgaika tu...
- Kwa nini hukuyasema mahakamani hayo unayotaka kuyasema?
- Kwa nini usiyaseme kama sehemu ya kuripoti kwako polisi?
- Kwa nini ulikaa kimya muda wote huo?
- Unadhani ni kitu gani kinakufanya uone wakati wa kusema umefika?

 
Kwakweli hata mimi naomba tu mtu ani mention.....huu ni upuuzi maana tunaishia kusoma mialiko ya insta party humu:angry::angry::angry:

Bado nakupenda sana....
 
Bwana Deus kama kawaida uwanja ni wako.....jimwage
Inashangaza lakini unavyocheza mchezo wa kutishia nyau. Pasco nadhani keshaeleza vizuri madhara ya kutishia nyau. Hicho unachoficha kinaweza kisiwe na faida kiviiiile, ukizingatia mambo kadha wa kadha...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ameamua kusema sasa utulie aseme!
 
Wa kusema angeshasema, wewe ni wa kubwa-bwaja unabaki kujiuma-uma.

Kuna mambo ya kubembelezwa kusema na si hili la kwako.

Hakuna mwenye muda wa kuanza kutongozana humu...ni wazi huna la kusema.

Tambua Tanzania ni yetu sote, wakutumiao hawana jema kwako...simamia misingi ya ukweli, na uzungumze kweli tena iliyo kweli tupu.

Kila heri.
 
Naona hamna cha maana si bora niombe mwaliko wa insta party!!!
Kwakweli hata mimi naomba tu mtu ani mention.....huu ni upuuzi maana tunaishia kusoma mialiko ya insta party humu:angry::angry::angry:
 

Attachments

  • 1409581613900.jpg
    22.4 KB · Views: 151
  • 1409581635106.jpg
    32.4 KB · Views: 136
Last edited by a moderator:
Pilipili ya shamba inakuwashia nini Ufipa?

wewe mambo ya ufipa yanakuwashia nini wkt wewe ni zwazwa kutoka pale lumumba,punguza umbea mama Mingoi
 
Last edited by a moderator:
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!

Le Mutuz
sorry to ask...umeolewa?...mmeo anajuwa kuwa mkewe anaongea pumba huku?
just a lil respect unaweza kuolewa mara ya 2 ikawa ni shida kijana.
 
Kuongea kweli ndio haki pekee utakayomtendea marehemu Chacha Wangwe. Otherwise dhambi itakuandama mpaka mwisho wa maisha yako.
 
- Muwache biandam aseme kwanza ndio upingane na hoja zake sasa Demokrasia gani hiyo nyie UKAWA mtu anataka kuzngumza mnataka kumzuia muwache aseme kwanza

Le Mutuz

kwani we akili zako zimepona! Mbona
umebunguliwa nyuma mda mrefu.
 

Mwanamke tulia angalau upate mume aseeeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…